DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Akili hizo ulizonazo Ni zako wewe,Sisi ni binaadamu na wala sio mbuzi ama kuku kwamba nyege zikitupanda hapo hapo tunapandwa na yeyote.
Alishindwa kuongea na mwenzie kwa utaratibu na kumwambia shida yake?
Miaka 3 yote uishie kupigwa miti ovyo kisa nini?
Sio wanawake wote wanaweza waza hivyo zikishampanda.
Na Sio kwamba ataenda TU kuomba kupandwa Kama mbuzi,
Ni kwamba akija ongea ivyo ujue kua tayar Kuna Wanaume wananyatia nyatia kimya kimya MDA mrefu ila dada wa watu kawaweka Kwenye WAITING LIST.
Na wananyatiaji sikuzote ikitokea nafas kidg tu, wanaitumia ipasavyo.