Ushauri: Mpenzi wangu ni mkimya kupita kiasi

Sio kiroporopo bali mtu wanaeweza wakapiga story, wakataniana, wakacheka na kufurahi.

Kwenye uhusiano kutaniana ,kucheka yapo ila anayetaka yeye ni yule Lopolopo ,mguu nje mguu ndani asubuhi kanga moja kwa jirani mistory yaani WALU WALU aka MPECHE MPECHE.
 
Weka picha mkuu
"Uzi bila picha sio uzi"😁 au wakuu munasemaje ephen_ Mad Max Mtoto halali na hela.
 
Kwa hiyo hutaki mwanamke mkimya?

Unataka varangati, kelele za kina Aisha Mapepe?

Unataka amsha amsha kama zile za Gigy money sio?

Yani akifungua mdomo spika ikasome, ni rrrrhhrrrrh!!! Pepepepepep!!!
 
SIku ukikutana nae hakikisha unaazima simu yake ili uhakikishe kama ajainstall app ya jamii forums

Masihara masihara kumbe anatumia id ya mpwayungu village😁 kubishana na member wa jf
 
Jamaa anataka wanawake type za kina Gigy Money.

Yani jamaa anataka wale wanawake full Mapepe akianza stori ni rrrrhhrrrrh kama cherehani...
 
Kwenye uhusiano kutaniana ,kucheka yapo ila anayetaka yeye ni yule Lopolopo ,mguu nje mguu ndani asubuhi kanga moja kwa jirani mistory yaani WALU WALU aka MPECHE MPECHE.
Hapana bwana! Someone he can make conversations with, na sio someone he can argue with.
Mtu hata huwezi taniana nae, mkacheka, si maisha yanakuwa soo boring jamani🙆🙆🙆
 
JINI HILO
KAMA SIO BIKRA USIOE
 
Ukiwa unapiga anapiga kelele au anakuwa kimya jibu kwanza kisha tujadili
 
Hii "comment" ipewe tuzo jamani. Kwangu ni "Comment" bora kabisa.
 
Miaka 22,huyo bado anatafakari,haamini kama kesha kuwa mama tayari...
 
Ushauri Mzuri sana Mkuu...
Appreciate 👍✊
 
Kaka 😅

Ukimpata chiriku kama mimi utakuja badili narration hapa kuwa “Mpenzi wangu anaongea sana wakuu mimi nimemchoka”!
😂

Anyway… kila kitu kikizidi ni sumu. Tulia hapo mlee mtoto.
Kwamba jamaa ni chiriku pyua eeeh!? Lakini si ana vipointi pointi angalau kwenye huo uchiriku wake au ni wale anaongea tu yaani ni pumba mwanzo mwisho halafu kila topiki anaijua? Yaani hata akikuta akina Kiranga wanaongelea Relativity na Black Holes; na hana hata fununu lakini ni lazima achangie....

➡️➡️➡️ On a serious note; jamaa si ulimkuta hivyo hivyo na ukampenda hivyo hivyo? Utakuwa ushamzoea tu bila shaka. Enjoy chiriku wako maana ungepata kauzu full JWTZ 24/7 napo ingekuwa shida tupu 😁🖐
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…