GE2025 Ushauri Mpina: Kagombee kupitia chama chochote, utapita maana wananchi wako upande wako kwa 100%

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
1. You are a very resourceful person.

2. Umekatwa kwa fitina za mkuu wenu wa chama.

3. Nakushauri nenda ACT kagombee, utapita maana wananchi ni wako by 100%. Labda wakuengue kwa sababu za kishenzi as usual!/kukuibia kura kwa amri ya Mkuu wa chama chako na ushenzi mwingine kama huo
 
Mfumo Kama haukutaki hauwezi kupita .

Ni Kama ulivyoona yule mjinga wa kule Nkasi aliyekuwa anatukana wazanzibar
 
Hawezi kupita, Maana Rais Samia kinachomkwaza juu ya MPINA, ni kukosolewa, na MPINA hawezi kuacha kumkosoa

Nakuhakikishia kuanzia RC, RPC,RSO Uhamiaji, Magereza,Mgambo,Sungusungu, DC, DAS, DED ,RAS ,,CCM green guard, Muliro wa Dar, Mafwele, Abdul, BASHE, Mafisadi waingiza Sukari, CCM wote Wazee wa mamaa mamaa, Watahakikisha HAPITI NG'OO.

Yaan Bunge la Samia, ni Bunge la watu Vilaza ambao hawatakua wanajadili mambo Kwa undani, badala yake ni Ndiooo ndioo.

Sana sana utawasikia kwenye kuchamba , kuzomea, kupiga meza , kucheka!!
 
1. You are a very resourceful person.

2. Umekatwa kwa fitina za mkuu wenu wa chama.

3. Nakushauri nenda ACT kagombee, utapita maana wananchi ni wako by 100%. Labda wakuengue kwa sababu za kishenzi as usual!/kukuibia kura kwa amri ya Mkuu wa chama chako na ushenzi mwingine kama huo
Tatizo wizi wa kura,ccm wanaiba kura sana akienda huko ACT hachomoki
 
Hawezi kupita, Maana Rais Samia kinachomkwaza juu ya MPINA, ni kukosolewa, na MPINA hawezi kuacha kumkosoa

Nakuhakikishia kuanzia RC, RPC,RSO Uhamiaji, Magereza,Mgambo,Sungusungu, DC, DAS, DED ,RAS ,,CCM green guard, Muliro wa Dar, Mafwele, Abdul, BASHE, Mafisadi waingiza Sukari, CCM wote Wazee wa mamaa mamaa, Watahakikisha HAPITI NG'OO.

Yaan Bunge la Samia, ni Bunge la watu Vilaza ambao hawatakua wanajadili mambo Kwa undani, badala yake ni Ndiooo ndioo.

Sana sana utawasikia kwenye kuchamba , kuzomea, kupiga meza , kucheka!!
basi ni hatari tupu na ajiangalie wasimuue/Kum-Kolimba. All in all let him try..mbinu za mapambano hupatikana uwanja wa mapambano
 
1. You are a very resourceful person.

2. Umekatwa kwa fitina za mkuu wenu wa chama.

3. Nakushauri nenda ACT kagombee, utapita maana wananchi ni wako by 100%. Labda wakuengue kwa sababu za kishenzi as usual!/kukuibia kura kwa amri ya Mkuu wa chama chako na ushenzi mwingine kama huo
Vikao vya juu watampitisha, si unajua ni " msikivu"
 
1. You are a very resourceful person.

2. Umekatwa kwa fitina za mkuu wenu wa chama.

3. Nakushauri nenda ACT kagombee, utapita maana wananchi ni wako by 100%. Labda wakuengue kwa sababu za kishenzi as usual!/kukuibia kura kwa amri ya Mkuu wa chama chako na ushenzi mwingine kama huo
Unanshauri kama vile huojui nchi,ukeambiwa TUME siyo HURU,polisi hawako HURU,wizi wa kura unafanyika,kule ACT kutakua na makubaliano ya nani tumpe ubunge na nani tusimpe ili kuridhisha kua uchaguzi ulifanyika,ila siyo Mpina.
 
1. You are a very resourceful person.

2. Umekatwa kwa fitina za mkuu wenu wa chama.

3. Nakushauri nenda ACT kagombee, utapita maana wananchi ni wako by 100%. Labda wakuengue kwa sababu za kishenzi as usual!/kukuibia kura kwa amri ya Mkuu wa chama chako na ushenzi mwingine kama huo
 
Hawezi kupita, Maana Rais Samia kinachomkwaza juu ya MPINA, ni kukosolewa, na MPINA hawezi kuacha kumkosoa

Nakuhakikishia kuanzia RC, RPC,RSO Uhamiaji, Magereza,Mgambo,Sungusungu, DC, DAS, DED ,RAS ,,CCM green guard, Muliro wa Dar, Mafwele, Abdul, BASHE, Mafisadi waingiza Sukari, CCM wote Wazee wa mamaa mamaa, Watahakikisha HAPITI NG'OO.

Yaan Bunge la Samia, ni Bunge la watu Vilaza ambao hawatakua wanajadili mambo Kwa undani, badala yake ni Ndiooo ndioo.

Sana sana utawasikia kwenye kuchamba , kuzomea, kupiga meza , kucheka!!
Nakutombayungi kabisa mwana
 
Wagombea wote wanaokatwa wanaungana na slogan ya NoreformsNoelection moja kwa moja. Wanapaswa kuelekeza nguvu zao kwenye kudai katiba mpya itakayorudisha mamlaka kwa wananchi na kudhibiti vyama fisadi na mafifadi wake ambao wamehodhi mamlaka ya nchi.
 
1. You are a very resourceful person.

2. Umekatwa kwa fitina za mkuu wenu wa chama.

3. Nakushauri nenda ACT kagombee, utapita maana wananchi ni wako by 100%. Labda wakuengue kwa sababu za kishenzi as usual!/kukuibia kura kwa amri ya Mkuu wa chama chako na ushenzi mwingine kama huo
Kupita sio shida, shida ni kutangazwa kuwa umeshinda kwa mfimo wetu wa amri kutoka juu,

Nina uhakika Mkurugenzi atakaemtangaza atakiona cha Moto kutoka kwa Mkwe wa Taifa wa TAMISEMI
 
1. You are a very resourceful person.

2. Umekatwa kwa fitina za mkuu wenu wa chama.

3. Nakushauri nenda ACT kagombee, utapita maana wananchi ni wako by 100%. Labda wakuengue kwa sababu za kishenzi as usual!/kukuibia kura kwa amri ya Mkuu wa chama chako na ushenzi mwingine kama huo
Apite kwa tume ipi?
 
Back
Top Bottom