PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 14,521
- 46,663
Uchaguzi wa 2020 walipitishwa Kwa nguvu wabunge wa CCM pamoja na wenyeviti wa serikali za mitaa Kwa Tanzania nzima..Wananchi wanaweza kumpigia kura nyingi tu, ila anayetangaza matokeo asimtangaze yeye mshindi.
Mfumo wetu wa uchaguzi ni mbovu sana .
Kwa mfumo huu ni kheri kusiwe na zoezi la upigaji kura kwani ni zoezi la kisanii,ulaghai na kitapeli.
Uchaguzi wa nchi hii upo chini ya RAISI yaani huyu ndiyo anachagua yupi aingie bungeni na yupi apigwe chini