- Thread starter
- #21
mtihaniApite kwa tume ipi?
mtihaniApite kwa tume ipi?
uko sahihiKupita sio shida, shida ni kutangazwa kuwa umeshinda kwa mfimo wetu wa amri kutoka juu,
Nina uhakika Mkurugenzi atakaemtangaza atakiona cha Moto kutoka kwa Mkwe wa Taifa wa TAMISEMI
Tukisema Tunataka Reforms CCM wanazani ni kwa ajili ya CHADEMA pekee, Kumbe ni kwa ajili ya Kila mtu..
Ona sasa, Na abaki huko huko apambane na hali yake.
Chanzo Mkuu!1. You are a very resourceful person.
2. Umekatwa kwa fitina za mkuu wenu wa chama.
3. Nakushauri nenda ACT kagombee, utapita maana wananchi ni wako by 100%. Labda wakuengue kwa sababu za kishenzi as usual!/kukuibia kura kwa amri ya Mkuu wa chama chako na ushenzi mwingine kama huo
Nani alikuambia huwa unashinda kisa unakubalika? Huyo ndio kwaheri.3. Nakushauri nenda ACT kagombee, utapita maana wananchi ni wako by 100%. Labda wakuengue kwa sababu za kishenzi as usual!/kukuibia kura kwa amri ya Mkuu wa chama chako na ushenzi mwingine kama huo
Wakiona dhulma inafanyiwa CDM, wanaona kama haiwahusu, sasa wanapitishwa mulemule, sasa ni kilio kuanzia Waitara, Gambo, na sasa Mpina.uko sahihi
Sim moja tu 😄 inapigwaKama mbowe uchaguzi wa hai hakupata hata asilimia 20 ya kura mpina hawezi toboa Kwa figisu za ccm, ndo maana watu wanadai reforms, ccm ikiwa haikutaki huwezi kutoboa, period....
Kuna yule mbunge wa kahama ccm 2010 somebody Lembeli nae alikuja na swaga za kuipinga serikali, nae 2015 wajumbe wakamla kichwa, akahamia chadema kipindi hiko chama Bado kina nguvu kweli... Kipindi Cha uchaguzi rais mstaafu mkapà na pensi lake mda wote akawa yupo kahama, unajua nini kilitokea??? Kuna majimbo ya ccm yapo strategically hawawezi kuyatoa ovyo bila reforms
Kama walishindwa uchaguzi point blank zanzibar wakakosa namna ya kuiba kura jecha akafanya yake..... Mpina hatakiwi, bila reforms ajiandae na maisha mengine tu
Aina ya kina Mpina ,ushauri wajitenge na ccm ,wasukume agenda za reform ,mbele watapata uongozi mkubwa kuliko sasa ,asema Bwana1. You are a very resourceful person.
2. Umekatwa kwa fitina za mkuu wenu wa chama.
3. Nakushauri nenda ACT kagombee, utapita maana wananchi ni wako by 100%. Labda wakuengue kwa sababu za kishenzi as usual!/kukuibia kura kwa amri ya Mkuu wa chama chako na ushenzi mwingine kama huo
asiposema bwana unafanyaje?Aina ya kina Mpina ,ushauri wajitenge na ccm ,wasukume agenda za reform ,mbele watapata uongozi mkubwa kuliko sasa ,asema Bwana
UhakikaSim moja tu 😄 inapigwa
Ova
Ali kesi uyo mwanae vurugu mechi kma yyMfumo Kama haukutaki hauwezi kupita .
Ni Kama ulivyoona yule mjinga wa kule Nkasi aliyekuwa anatukana wazanzibari
Hawezi kupita, Maana Rais Samia kinachomkwaza juu ya MPINA, ni kukosolewa, na MPINA hawezi kuacha kumkosoa
Nakuhakikishia kuanzia RC, RPC,RSO Uhamiaji, Magereza,Mgambo,Sungusungu, DC, DAS, DED ,RAS ,,CCM green guard, Muliro wa Dar, Mafwele, Abdul, BASHE, Mafisadi waingiza Sukari, CCM wote Wazee wa mamaa mamaa, Watahakikisha HAPITI NG'OO.
Yaan Bunge la Samia, ni Bunge la watu Vilaza ambao hawatakua wanajadili mambo Kwa undani, badala yake ni Ndiooo ndioo.
Sana sana utawasikia kwenye kuchamba , kuzomea, kupiga meza , kucheka!!
Act anapigiwa dalali kabwe. Kuwa usimpokee mpina baaaasiiiiiiiiiii.1. You are a very resourceful person.
2. Umekatwa kwa fitina za mkuu wenu wa chama.
3. Nakushauri nenda ACT kagombee, utapita maana wananchi ni wako by 100%. Labda wakuengue kwa sababu za kishenzi as usual!/kukuibia kura kwa amri ya Mkuu wa chama chako na ushenzi mwingine kama huo
Amisha sema sasaasiposema bwana unafanyaje?