GE2025 Ushauri Mpina: Kagombee kupitia chama chochote, utapita maana wananchi wako upande wako kwa 100%

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwa sisi waziwani tunasema malipo ni hapa hapa,ingawaje jamaa ni tajiri la kutupwa
 
Kwa tume ipi ya uchaguzi?

ndani ya viunga vya Basra.
 
Mpina hawezi kupita, wananchi wameshamkataa
 
Ushauri wangu: aachane na mapambano.. atulie afanye mambo yake. Mazingira ya siasa nje ya ccm ni magumu.
 
Let him try maana hatatumia pesa kugombea, alishapiga kampeni muda mrefu huko nyuma. He has nothing to lose in terms of resources!
Yeye aende tu kwa kujifurahisha lakini kutangazwa hatatangazwa! Nakuhakikishia jeshi lote la polisi litahamia Kisesa!
 
Aliyemkata ndiye kiongozi wa Tume ya uchaguzi at the background - kokote atakakokwenda atakwamishwa na ndiyo maana chama makini kinayajua haya na kinataka Reforms kwanza kabla ya uchaguzi.

Pole mpina, ukiwa mkweli ma Mzalemdo elewa maisha yako ndani ya CCM yatakuwa na oirukushani nyingi. Wewe na Gwajima mpo targeted.
 
Mkuu tunao hao watu huku mtaani wanasema katiba sio kila kitu, mpaka watakavo katwa kama hivi ndo akili zinawajaa
 
Acy wajalendo nao kama xxm 2
 
Subirini majina matatu yarudi ndio muanze utabiri wenu. Eti aende ACT. Halafu akienda ACT ndio system ya uonevu itabadilika?. Akina Lissu wakipigia kelele reforms za uchaguzi huwa mnajifanya hayawahusu.
 
Subirini majina matatu yarudi ndio muanze utabiri wenu. Eti aende ACT. Halafu akienda ACT ndio system ya uonevu itabadilika?. Akina Lissu wakipigia kelele reforms za uchaguzi huwa mnajifanya hayawahusu.
majina yameshatoka.......... ndiyo hayo. Kwenye vikao kuna watu wema wanatoa taarifa sahihi
 
Kaka mfumo wa Tz ukishakupiga spana hata uende wapi hutoboi.
Mfumo ukishakupiga spana hata uende wapi hutoboi. Mpina hana influence kama walizokuwa nazo akina marehemu Mrema na Lowasa ambao mwisho wa siku walikubali yaishe
 
Ana itaji watu vilaza kama yeye
 
Wananchi wanaweza kumpigia kura nyingi tu, ila anayetangaza matokeo asimtangaze yeye mshindi.
Mfumo wetu wa uchaguzi ni mbovu sana .
Kwa mfumo huu ni kheri kusiwe na zoezi la upigaji kura kwani ni zoezi la kisanii,ulaghai na kitapeli.
 
Wajumbe ni wapuuzi sana, wajumbe hawana Nia njema na taifa hili, hawana Nia njema na rasilimali za nchi, Mpina aende ACT au chauma
Mkurugenzi ndiyo anatangaza matokeo alafu ni mteule wa RAISI.
Ni ngumu kwake kupata ubunge tena Kwa katiba hii. Huwezi kushinda vita Kwa katiba hii mbovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…