StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 4,153
- 4,301
Akae hapo hapo mpange fyucha pamoja. Two heads are better than one. Mwambie asitoke!Shida ni nipo nasoma chuo na kufanya kazi so naona kuanza kuisha na mwanamke tutasumbua tu na kuchanganyana akili.. So lengo langu awe anakuja weekend tu na kuondoka na sio kuja na kukaa week nzima au mwezi atanichosha akili na mwili
Halafu atajibanza sehemu akifungua tu chubwiii ndani.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndio ukome.. kama vipi mtume akanunue kihepe we nyuma unafunga geto unahamia kwa mshkaji. case closed
😂😂😂😂navuta taswira ya hiyo kusukumanaHujamfanya hujakoleza ikavimba,tunakimbiaga wenyewe mbona.Mwombe akusindikize unapoenda job akitoka tu funga mlango akilazimisha msukume bora aanguke kuliko aibu inayoelekea kukuta then kalale lodge usiku mmoja tu
tulia kwani shida ni nini?Si yuko mapumzikoni?Ni binti mzuri tu anavutia sana nilikutana nae kwa mara ya kwanza kwenye mkesha wa mwaka mpya tena kanisani. Baada ya siku tano nikamtongoza tukawa wapenzi
Jumapili iliyopita nilifanikiwa kumleta maghetoni na kula mzigo kwa mara ya kwanza.
Sasa ndugu msomaji huyu mrembo toka aje jumamapili mpaka leo ijumaa amegoma kabisa kuondoka kwao.
Nimetumia mbinu zote za kidiplomasia naona inashindika ananiambia ataondoka siku atakayojisikia.
Na nikisema nitumie nguvu naona itakua noma kutaibuka makelele hapa na hawa majirani wananiheshimu sana.
Sasa wakulungwa wenzangu emu nipeni ushauri hapa nifanye nini? Au niende polisi maana naona ishakua noma.
Wako tena huyo🤸.Ni binti mzuri tu anavutia sana nilikutana nae kwa mara ya kwanza kwenye mkesha wa mwaka mpya tena kanisani. Baada ya siku tano nikamtongoza tukawa wapenzi.
Jumapili iliyopita nilifanikiwa kumleta maghetoni na kula mzigo kwa mara ya kwanza.
Sasa ndugu msomaji huyu mrembo toka aje Jumamapili mpaka leo Ijumaa amegoma kabisa kuondoka kwao.
Nimetumia mbinu zote za kidiplomasia naona inashindika ananiambia ataondoka siku atakayojisikia.
Na nikisema nitumie nguvu naona itakua noma kutaibuka makelele hapa na hawa majirani wananiheshimu sana.
Sasa wakulungwa wenzangu emu nipeni ushauri hapa nifanye nini? Au niende polisi maana naona ishakua noma.
Kwani amekuwa asiyejulikana🏃Wee andaa mfuko wa sandarus na panga af weka kweny kitanda!
Pisi itakimbia mji kabsaaa had kijijiniKwani amekuwa asiyejulikana🏃
Huwa siruhusu demu ambaye sina malengo nae alale kwangu,au aje come & stay hata ya weekend..tutaondoka kwenda kwake hata kama ni saa tisa usiku.
Ma.nina walah..Tafuta ARV ziweke hapo geto.. alafu ionekane unatumia
Unamgeuzia kibao.."kumbe wewe ni muhuni hivi"..nakupa dakika kumi uondoke kwangu huku ukitoa panga chini ya uvungu.Sijui ataficha wapi uso wake pale atakapochomoka na mafuta ya nazi kutoka kwenye mkoba wake
Hatakiwi kurudi siku hiyohiyo,apige Kama siku tatu hukoHalafu atajibanza sehemu akifungua tu chubwiii ndani.
Sijui ataficha wapi uso wake pale atakapochomoka na mafuta ya nazi kutoka kwenye mkoba wake
Umeshaambiwa wamekutana kwenye mkesha wa mwaka mpya kanisani.....kwa hiyo ukiagiza kitimoto ndio kwanza atafurahia kwa kumkirimu vizuri na hao washikaji ndio ataona umefikia hatua ya kumtambulisha kwa marafiki zako, atawapikia na kupakua kwa raha zooote.Kama ni mwisilamu wee agiza kitimoto mwanzo mwisho!
Pia ita washikaji waje kuchek TV had usiku
Mara paaaap!.....jicho katunukiwa! Atasemaje?muombe Tigo, akibaki nakupa 5000
wewe si poti!Ni binti mzuri tu anavutia sana nilikutana nae kwa mara ya kwanza kwenye mkesha wa mwaka mpya tena kanisani. Baada ya siku tano nikamtongoza tukawa wapenzi.