Ushauri: Mrembo kanipanda kichwani hataki kuondoka nyumbani kwangu

Pole sana...

Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Unamtaka. MTU anagomeaje kutoka kwenye chumba chako??

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Kusex nae mpaka pawe pakavu akipata mchubuko we usijali endelea kuomba game tu mpaka atasepa mwenyewe
Hii kitu inaua nguvu za kiume.
Utamchubua nawe utachubuka. in the long run cell zinazosense zinakuwa damaged na kupata makovu hali inayopelekea kupunguza sensation.
Kama una huo mtindo acha mkuu vingevyo kama umri wako umeenda fanya maana huna cha kupoteza.
 
Kama ni mnyakyusa ndo usha oa hivyo peleka mahari mkuu. Ndoa huanza kwa mitindo tofauti, mi nilioa bada ya kumtia mimba shemeji yako sikuona sababu ya kumtelekeza.
Mke huna, mtoto huna, kazi unayo unaogopa nini, anza maisha mkuu.
Kuoa mapema kuna faida nyingi. Binafsi nilikwepa kwepa kuoa mpaka 30+ leo naona madhara, unajikuta wenzio watoto wapo chuo wewe ndio wapo primary.
Mkuu hio ni neema mungu kakupa usiogope bali jiridhishe kama ni familia inayofaaa kuoa basi maisha anapanga mungu sio binadmu.
Avha uhuni, mungu hataki uendekee na uhuni uo mtoto huyo.
 
So unasema kwamba tuweke style za msomali kafia kwa fiat, mbuzi kagoma kwenda ili mradi mambo tofauti.

Ah hiyo yako tuu. Mie nachoona mzeya mwanamke ukishamkojolea mara tatu bwana anakinai
Kwa kweli hiyo msomali kafia kwenye Fiat ndio naisikia leo. Hii anakupaje kupaje?
 
Usiache hela kabisa ..ondoka asubuhi rudi usiku ukiwa umekula kabisa. Kila siku nunua umeme wa buku tu usiku ili uweze kunyoosha nguo za kazini, utaisha mchana atashinda bila umeme. Kama umepanga vumilia hadi kodi ikiisha uhame. Siku ya kuhama mpe hela akanunue vitu vya ndani na asuke. Akiondoka tafuta gari pakia vitu fasta akirudi akute haupo. Na jitahidi hiyo zipu usiifungue kabisa tafuta demu mwingine. Maana ukilala nae tu atakushushia kesi ya mimba hata kama sio yako
 
Bro linda figo yako, usijione umepata bahati ya mtende
 
We ulimleta kwa kazi ipi kumla tu?au?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Muage kwamba unasafiri mkoa kwa muda wa angalau mwezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…