Ushauri: Msaada kuhusu tabia ya wizi iliyokubuhu kwa kijana wangu

Mkuu mara nyingine ni kwa kudra tu, unaweza fanya kila kitu lakini bado mtoto akawa ndivyo sivyo, utaskia wanasema huyu kamfuata mjomba wake yule aliyechomwa moto 🤣🤣
Kama ni hivyo, inabidi akafanyiwe mila, kwa sababu bado ni mdogo sana
 
Wezi huanza hivyo hivyo mdogomdogo mwishowe wanakuja kumuua...mzaha mzaha hutumbua usaha.
 
Hiyo ni tabia ya baba yake au mama yake.Rudisha kwao lisije fia kwako siku moja.watakupa mzigo wa lawama .wape wakapambane nae wenyewe.
Mimi kuna watoto nimezaa na mwanamke mmoja .na hawa watoto hawajawahi kuishi na mama yao lakini tabia zao zote ni za mama yao kabisa
Wakike kamfata mama yake mambo mengi yaan mpaka sa nyingine ndie anaenifanya nimkumbuke mamayao kila nikimuona
Huyu wa kiume kuna baadhi ya tabia za mama yake naziona.ni mtu asie jari na mara kwa mara anakuwa na majibu yanayomchonganisha na marafiki zake.wananipa mashitaka kumuhusu
Hapo ndipo nilipojifunza maisha
Ni sawa na yule mwanamke mwenye sura mbaya akafanya (sajari)akawa mrembo lakini alipokuja kuzaa akazaa ile sura yake mbaya.mpaka mwanaume akiekuwa akiishi nae ikabidi afanye uchunguzi wa ile sura ya yule mtoto akagundua kumbe mama mtoto akifanyiw surger?!!
So Rudisha hilo toto litakuletea matatizo makubwA siku mojaunaweza piga likakufia hapo hapo ukaesabiwa umeuwa mkuu
 
Amerithi. Nani kwenu ama kwa shemeji yako(mke wa kaka yako) ambaye ana mkono mrefu!?
 
Kabidhi Mzigo kwa Baba yake! Mtafutie uhamisho akasomee kwa baba yake!
Au mmpeleke shule ya watoto walioshindikana huko watamsaidia!
 
mrudishe mpe mtoto baba yake chukua uamuzi huu haraka sana
 
Eti tabia ya wizi ni ya kurithi,ebu toa proof za kisayansi ili tujue jinsi ya kuepuka tabia hizo
 
Mpeleke kwenye maombi kama uko Dar mpeleke pale Ubungo Emaunsi na Mwenyenzi Mungu atamtendea
 
Jaribu kuwa na busara, Hilo ni lakwanza Jambo lingine inaonesha wazi wewe na huyo dogo tabia zenu zinashabiana nikimaanisha huna hekima Tena yawezekana wewe ndie mkufunzi wa dogo. Unapo leta mada chunga lugha yako ili usaidiwe mawazo mema.
 
Eti tabia ya wizi ni ya kurithi,ebu toa proof za kisayansi ili tujue jinsi ya kuepuka tabia hizo
Kama maamuzi unayoyafanya yanategemeana na shughuli za cells katika ubongo wako, na cells zako zimeundwa kwa namna ilivyo DNA yako, na DNA umerithi kutoka kwa wazazi basi kuna uwezekano mkubwa mmoja wa wazazi wa huyo dogo (kama sio wote)alikua au ni mwizi.

Aongee nao vizuri ili ipatikane namna ya kumsaidia mtoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…