Ushauri muhimu kwa Diamond Platnumz

Hii nyimbo huenda hakulenga soko la Tz.Mimi nimeusikiliza video nzuri but nilichoishia kusikia ni very few meaningful words mpk nikasema ndio umeishia hapo.
 
Kwako ulieandika uzi!
Lazima utambue kuwa Diamond is now a big artist hahitaji kutumia nguvu kubwa kutunga wimbo kama vile ma underground..huo upuuzi anaoimba ndo unahit nchi za wenzetu ujue..He's a global artist kwa sasa hajafocus tu Tanzania kuna haja Gani ya yeye kuimba nyimbo zenye mashairi mengi na tulivu ikiwa Mbosso,Zuchu na Rayvanny wanafanya hivyo he's trying to differentiate himself..Sikiliza Amapiano za wasouth zinavyohit huku wanatumia less efforts kwenye uandishi
 
Ngoja wenye giiiigiiiiii wao waje[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwani mnavyomsifiaga huwa zinamfikia? Ndio machawa mumfikishie salamu.
 
Kwa hiyo mbele ndio wanasikilizaga gggigigi Gaga gagaga agagaag gigagigagigagagag[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Anaimba utadhani anakunywa maji hizo gudu dugu ndo nini?
 
Sio anaimba utumbo bali anaimba kwa target na ndio maana amekuwa msanii mwenye hela nyingi kuliko msanii yoyote wa hapa bongo
Ila chawa nyie ni watu wanafki Sana hela zake unazijua wewe ni mkewe?
 
Huyu dogo anatuchukulia poa sana πŸ˜ƒ

Sawa gagaggigi πŸ˜‚πŸ˜‚ hamna noma
Amna ni vile tu wabongo hamuelewi yani sio kila akitoa ngoma basi kakulenga wewe ama hadi uipende wewe kijana.

Relaax maisha ndo haya haya hii gii gaga gogo itapata tuzo trust me mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…