Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 5,146
- 15,927
Comrade vipo jana Nec walifungua ofisi zao za Dodoma?Sidhani kama atakuelewa!
Ajitahidi aelewe, hayuko kwenye ugomvi binafsi na Magufuli. Yuko kwenye uchaguzi, ajikite kwenye kuuza sera za chama.Sidhani kama atakuelewa!
Comrade hakuamini kilichotokea Jana.Comrade vipo jana Nec walifungua ofisi zao za Dodoma?
Sidhani kama hata Trump wa Marekani atakuelewa!Ajitahidi aelewe, hayuko kwenye ugomvi binafsi na Magufuli. Yuko kwenye uchaguzi, ajikite kwenye kuuza sera za chama.
Mbona huu ni mwanzo tu, sera za chama zitamwagwa lakini ni vizuri wanyonge wafahami aliyoyafanya kipenzi chao kwa miaka mitano.Ajitahidi aelewe, hayuko kwenye ugomvi binafsi na Magufuli. Yuko kwenye uchaguzi, ajikite kwenye kuuza sera za chama.
Nilimuuliza Kaijage akaniambia Lisu anasumbulwa kisaikolojia na mazingira ya Dodoma kufuatia lile shambulio la majambazi na kwamba NEC wanaamini katika utu so jana walienda ofisini kwa kujitolea!Comrade vipo jana Nec walifungua ofisi zao za Dodoma?
Mataga mmeumbuka again 🤣🤣Nilimuuliza Kaijage akaniambia Lisu anasumbulwa kisaikolojia na mazingira ya Dodoma kufuatia lile shambulio la majambazi na kwamba NEC wanaamini katika utu so jana walienda ofisini kwa kujitolea!
Nakumbuka 2015 Lowassa hakuzungumzia sera wala Ilani ya Chadema bali alihubiri " mahaba"Mbona huu ni mwanzo tu, sera za chama zitamwagwa lakini ni vizuri wanyonge wafahami aliyoyafanya kipenzi chao kwa miaka mitano.
Hahahaaaa........ Kumchinja Kobe kunataka timing bwashee!Mataga mmeumbuka again 🤣🤣
Ni kweli kabisa, kwa muundo wa serikali yetu kile kinachofanywa na serikali kina akisi moja kwa moja msimamo wa rais. Lakini ni vema kuikosoa serikali ya CCM na kuinadi serikali mbadala ya CDM.Mbona huu ni mwanzo tu, sera za chama zitamwagwa lakini ni vizuri wanyonge wafahami aliyoyafanya kipenzi chao kwa miaka mitano.
Comrade, hii ni 2020 ulishasheherekea siku kuu ngapi za kuzaliwa tangu mahaba ya mzee Lowassa?Nakumbuka 2015 Lowassa hakuzungumzia sera wala Ilani ya Chadema bali alihubiri " mahaba"
Mkono mrefu mpaka sasa sijasikia waliomshambulia Tundu Lissu,huo mkono mrefu ndo upi?#2 kuteswa na kulengwa moja kwa moja na utawala huu hili siliamini mpaka kesho,huyu alilengwa na maadui zake tu wala asitudanganye.
Serikali yoyote duniani ilivyo na mkono mrefu iende ikafanye vitu kitoto namna hiyo wapi na wapi,huyu atakua na maadui zake tu huko ndani ya chama,au aliwahi kumpindishia mtu sheria, au aligongwa na mabeberu moja kwa moja kuchafua taswira ya nchi na wakageuka kumsaidia na kumlazimisha amrukane Rais ambaye sisi wananchi tunaona wazi kua tuna Rais anayetupigania usiku na mchana
NB: inawezekana kabisa mabeberu yamemuwekea hata vinasa sauti na yeye anajua au anahisi, hivyo basi ni lazima kwake kuropoka ropoka ili wamsikie huku yeye pia akilenga mamilioni ya pesa wanayompa yasije yakakata
Tundu ni muhuni tu na siamini kama kuna siku moja MUNGU anaweza kumteua huyu maana hakuna mamlaka inakuja kwa kupiga tu kura isipokua kwa maamuzi ya MUNGU mwenyewe
Mhuni ni yule anayejibu hoja kwa risasi. CCM imeshakoma kuwa chama cha siasa na kubaki kuwa genge la kigaidi linalotumia mabavu ya dola kuendelea kutawala#2 kuteswa na kulengwa moja kwa moja na utawala huu hili siliamini mpaka kesho,huyu alilengwa na maadui zake tu wala asitudanganye.
Serikali yoyote duniani ilivyo na mkono mrefu iende ikafanye vitu kitoto namna hiyo wapi na wapi,huyu atakua na maadui zake tu huko ndani ya chama,au aliwahi kumpindishia mtu sheria, au aligongwa na mabeberu moja kwa moja kuchafua taswira ya nchi na wakageuka kumsaidia na kumlazimisha amtukane Rais ambaye sisi wananchi tunaona wazi kua tuna Rais anayetupigania usiku na mchana
NB: inawezekana kabisa mabeberu yamemuwekea hata vinasa sauti na yeye anajua au anahisi, hivyo basi ni lazima kwake kuropoka ropoka ili wamsikie huku yeye pia akilenga mamilioni ya pesa wanayompa yasije yakakata
Tundu ni muhuni tu na siamini kama kuna siku moja MUNGU anaweza kumteua huyu maana hakuna mamlaka inakuja kwa kupiga tu kura isipokua kwa maamuzi ya MUNGU mwenyewe