Uchaguzi 2020 Ushauri muhimu sana kwa Tundu Lissu tukielekea Oktoba 2020

Uchaguzi 2020 Ushauri muhimu sana kwa Tundu Lissu tukielekea Oktoba 2020

Kwani aliyeanza kumshambulia mwenzie nani?hata mtoto mdogo anajua ni nani aliyemshambulia Lissu! tena alitoa taarifa mapema mbele ya umma na ikatokea kweli.
CCM wakishindwa kujibu hoja watakwambia umetumwa na mabeberu
 
Lisu hawezi kampeni bila kunshambulia Magufuli sababu hana sera.

Pia tujue hata kwa mtu yeyote aliepata tukio kama la Lisu lazima akili iyumbe kidogo.
Kwahiyo mlivyo mshambulia mlikusudia kumuyumbisha akili au kumuondoa kabisa duniani?
 
Back
Top Bottom