Ushauri muhimu: Serikali izime kabisa mtandao wa twitter, unatumika vibaya kipindi hiki tunapopambana na Covid 19

Great thinker
Anaanza na muhimi

Anamalizia kwa kusema kuna Covid-19 akati mkuu wa nnchi anapinga ilo, kisha anakuambia tunapambana na covid-19 , kwa tahadhari zipi zilizochukuliwa??

My take
Wewe ni great thinker kweri kweri, Karibu chattel.
Tanzania sio kisiwa, hii ni vita kijana.
 
Jukumu la kutangaza uwepo wa magonjwa mfano wa COVID-19 kisheria ni la serikali kupitia waziri. Lini serikali imekutangazia kuwa nchini kuna Covid-19?
Kubali kuitwa ili uelimishwe, ukibisha kuwa wewe si mjinga utakua na utindio wa ubongo
 
Usionyeshe utahira kwa JF kwa akili zako hata jf unatamani ifungwe mpuuuuz sana
 
Jukumu la kutangaza uwepo wa magonjwa mfano wa COVID-19 kisheria ni la serikali kupitia waziri. Lini serikali imekutangazia kuwa nchini kuna Covid-19?
Wewe elimu yako mwisho darasa gani? Kila nchi ipo kwenye mpambano dhidi ya covid 19? Tumia akili dogo
 
Ni akili yako au umetumia ya mtoto mdogo.Akili ndogo inasema mtandao ufungiwe au mtu binafsi.Asilimia 90 twitter taarifa zao ni za kweli.Zinafukuliwa hadi uvunguni.Tulieni ziendelee kufukuliwa.Ni nimoni sio covid 19.Hiyo kabisa haipo tanzani.Oyeeeeeeeeee
 
Acha umbeya dogo huko Twitter kimekupeleka nn? Na humu JF kimekuleta nn si ukae kimya kwani lazima ufuatilie yanayoendelea huko?
 
Lini zimekuwa kweli? Uongo wa kupapasa na kuzua uzushi.
 
Acha umbeya dogo huko Twitter kimekupeleka nn? Na humu JF kimekuleta nn si ukae kimya kwani lazima ufuatilie yanayoendelea huko?
Son of gun keep quite.
 
Mkuu ungeshauri mtandao wa aina yoyote upigwe marufuku nchini tungekuwlewa.
 
Wewe jamaa jinga sana na thread zako.

Qenday ww
 
Kwel ww ni nguchiro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…