Ushauri muhimu: Serikali izime kabisa mtandao wa twitter, unatumika vibaya kipindi hiki tunapopambana na Covid 19

Ushauri muhimu: Serikali izime kabisa mtandao wa twitter, unatumika vibaya kipindi hiki tunapopambana na Covid 19

Mwaka jana kuna Mh alikula kitengo kwa kutoa ushauri unaofanana na wako. Umesahau kuweka namba mkuu.
 
Kuna vitu huwezi kuzuia hata iweje. Wewe umeona Twitter tu. Na kwa nini wafungie wakati Raisi mwenyew anatumia Twitter kutoa taarifa mbalimbali pamoja na pole kwa misiba mikubwa kama huu wa Maalim
Twitter sio sehemu rasmi ya mawasiliano...
 
Kuna upotoshaji mpaya sana unaofanywa na watu wasio na nia njema na taifa hili, na kusababisha taharuki kwa watanzania.

Mtandao wa Twitter unatumika vibaya sana na watu ambao ni wapuuzi na siku zote hawana nia njema na Tanzania kwa sababu zao ambazo hazina mashiko.

Kila mtu anajua sasa hivi kila Taifa lipo kwenye changamoto ya kupambana na Covid 19 new variant.

Lakini inakuwa sio vizuri kuona wapuuzi wachache ambao wanazusha vifo vya uongo, wanazusha kuwa ugonjwa umetapakaa mithiri ya wingu zito.

Kiuhalisia bado tuna hali nzuri. Hivyo tuchukue hatua kudhibiti kuenea zaidi, Mungu atatusaidia.

My opinion; Tcra wafungienTwitter kwa mwaka mzima mpaka hali itulie. Pia VPN zifungiwe ili njia za panya zisitumika kupotosha na kuzua uongo.
Upuuzi mtupu.
 
Bwashee kusema kweli kuwa tuna ugonjwa ni lazima tuzue vifo vya uongo. Na kuzua taharuki?
Ni hatua gani mmechukua kwa wale wapinzani mliowaua kwenye uchaguzi, Ili ccm iendelee kukaa madarakani kwa shuruti?
 
Kuna vitu huwezi kuzuia hata iweje. Wewe umeona Twitter tu. Na kwa nini wafungie wakati Raisi mwenyew anatumia Twitter kutoa taarifa mbalimbali pamoja na pole kwa misiba mikubwa kama huu wa Maalim
Bila kusahau kwa VPN
 
Back
Top Bottom