Ushauri muhimu: Serikali izime kabisa mtandao wa twitter, unatumika vibaya kipindi hiki tunapopambana na Covid 19

Ujinga tulionao baadhi yetu ndio tatizo letu kubwa! Na ndio maana tumekuwa kituko cha dunia...tumezowea kuburuzwa kama migombe ya kulimia!! Sijui kwa nini tunaamua kufungia kapuni maarifa tuliobarikiwa na Mungu?
 
Dunia ya leo haiitaji mambo hayo zaidi inahitaji habari na mifumo huru ya habari.
 
Wewe ni nani mpk useme "bado tuna Hali nzuri"?Umefanya wapi utafiti?
Serikali yako inatambua kuwa kuna korona,na imewajibikaje kwa hili?
 

Hata tukisanganya kifo ni kifo tu na wakati huu wengi ni Corona. Tusimjaribu Mungu semeni ukweli yaishe. Sasa kijazi amekufa na nini?
 
Jipige kifuani mara tatu na useme mimi ni zoba!!!

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Wewe ni nani mpk useme "bado tuna Hali nzuri"?Umefanya wapi utafiti?
Serikali yako inatambua kuwa kuna korona,na imewajibikaje kwa hili?
Wewe ungekuwa umekufa ningesema hali mbaya.

Lakin maadam upo hai na watu hawadondoki kama mnavyopotosha twitter Mungu yupo na Tanzania.
 
Hata tukisanganya kifo ni kifo tu na wakati huu wengi ni Corona. Tusimjaribu Mungu semeni ukweli yaishe. Sasa kijazi amekufa na nini?
Wewe unajua amekufa na nini?
 
Tanzania Kuna mapambano ya covid??

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Wewe ni bwege. Hujitambui.
 
Nijuavyo mm mpaka sasa hapa Tanzania hatuna Covid19 ipo kwenye mataifa jirani! Mtoa maada hayo mapambano yameanza lini!?
 
Nafasi zote za uongozi ni zenu, mbona bado malalamiko?

Au mmekalia kiti si chenu?
 
Wewe kwani aliye kuambia kuwa Tanzania kuna corona ni nani? Wewe ulisikia wapi?
Je Una ndugu kafa na Corona? Je mtaani kwenu kuna msiba WA Corona? Tanzania ni salama tuchukue fursa hii kulima ili tuwauzie walioathirika na ugonjwa WA Corona. Alisikika mlevi mmoja.
 
Jukumu la kutangaza uwepo wa magonjwa mfano wa COVID-19 kisheria ni la serikali kupitia waziri. Lini serikali imekutangazia kuwa nchini kuna Covid-19?
Aisee..... kwahiyo Serikali isipotangaza na wewe ukaumwa au familia yako ikaondokewa na Ndugu na Madr wakasema ni Covid utakataa kwakuwa Serikali haijasema?
 
We akili kisoda kama jiwe😋😋😋😋😋😋😋
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…