Ushauri: Mwanamke kutoa ujauzito kwa vidonge vya Misoprostol na kutokwa damu mfululizo

anajifanya anasikia wakat ndo walewale
 
Fanya mambo haya, tena haraka sana.
1/Tubu kwa Mungu kwa Kufanya uasherati.

2/Tubu kwa Mungu kwa kujihusisha na kutoa mimba(Hata kana wewe hukutaka lakini muasherati mwenzako alitaka kutoa)

3/Mpeleke haraka sana huyo Binti Hospitali (Sio vichochoroni) na umweleze ukweli Daktari kuwa huyo dada ametoa mimba. Hakikisha pia nyote mnampima kama bado hamjaathirika na Ukimwi.

4/Achana kabisa na huyo binti, hakufai, ni muuaji kabisa, kama ameweza kuua mtoto wako aliyekuwa tumboni tena mtoto asiyekuwa na hatia ipo siku anaweza kutamani hata kukuua na wewe.
 
da! thread ya 2013 bado watu wanatoa ushauri jinsi ya kufanya ili damu istop!
 
Siku nikiwa regulator nitafunga sana hizi pharmacy zinazouza misoprostol bila prescription

Hawa ndio wanachochea zisipopatikana kirahisi watu wataacha .Ole wenu nifike tfda
 
Hapo saw ulichokifanya wew nd nilichokifanya mim, huwez toa mimba bila sababu ya msingi nimemucha na makofi juu
 
Mpeleke tu hospital. Atapata msaada wa kitabibu Ila siku nyingine jitajidini kiwa makini.
 
AISEE POLENI SANA NDUGU. BUT YOU'LL BE CAREFUL NEXT TIME WHEN BEING PRESCRIBED WITH A QUANTITY DOSE AND USE IT PRECISELY, HAPO HAKUTUMIA KWA UTARATIBU SAHIHI I GUESS
 
I DON'T THINK KAMA WAMESHARUHUSIWA KUTIBU ISSUE ZA ABORTION TANGU WAFUNGIWE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…