Kajole
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 1,668
- 1,643
anajifanya anasikia wakat ndo walewaleUnasikia? Hahaha! Shikamoo King'asti! Kweli kabisa. Mpeleke haraka Marie Stopes. Wamebobea kwenye mambo hayo. Sijui ni lini Tanzania itaruhusu utoaji mimba salama. Wanawake wanahangaika kutoa huko vichochoroni kwa njia za ajabu ajabu. Wengine wamepoteza hata maisha.