Ushauri na Mbinu Mbalimbali Kuhusu Uendeshaji wa Biashara ya Kuosha Magari (Car Wash)

Ushauri na Mbinu Mbalimbali Kuhusu Uendeshaji wa Biashara ya Kuosha Magari (Car Wash)

Wewe bado ujaacha kuwa bitter tu? Unajifanyag unajua kila kitu...hapa ni open forums ungetaka watu wasichangie ungetag watu PM huko 😂😂😂! Hapa utapewa dozi kamili tu.
How am I bitter? Mzee pita kimya kimya kama biashara ya car wash huifahamu au hutaki kushare your knowledge. Attacking my personal character won't make you a better person. Btw sijui kila kitu ndo mana nipo hapa kuuliza. anaejifanya kujua kila kitu ni wewe na huyo chalii yako/ 2nd ID yako.
 
Sasa yeye ametoa angalizo we umemu attack kwamba anajifanya anajua! Ofcourse hajifanyi kwa sababu kimsingi ana uelewa mpana na amesha execute miradi kadhaa ambayo amekuwa akishea nasisi humu.

Cha muhimu we ni kutuliza shanga hizo uelekezwe mambo yanakwendaje. Mi sifanyi hio biashara ila nina rafiki wa karibu anaifanya na hupeleka gari yangu kuoshwa hapo. Kwa kifupi ni kuwa utahitaji 7M cash money to cover the pre-requsites. About half of the money ikiwa ni machines and a couple of accessories. Pia utahitaji shade and a mounting setup!
 
Kuna mwingine kafungua thread mtaa ule kule anaomba wadau wamsaidie simu gani nzuri akatumie halafu akaandika kama huyu mwenye huu uzi kuwa (hana hela nyingi sana) ila hajasema ana kiasi gani.

matokeo yake watu wanamtajia simu za bei ya bajaji,wengine simu bei unanunua kiwanja,yani hayo ma ushauri aliyokua anapewa nadhani ailim bidi akimbie uzi wake.

namfananisha kwambali na mwenye huu uzi mwenye mtaji sio mkubwa
 
Cha muhimu we ni kutuliza shanga hizo uelekezwe mambo yanakwendaje. Mi sifanyi hio biashara ila nina rafiki wa karibu anaifanya na hupeleka gari yangu kuoshwa hapo. Kwa kifupi ni kuwa utahitaji 7M cash money to cover the pre-requsites. About half of the money ikiwa ni machines and a couple of accessories. Pia utahitaji shade and a mounting setup!
Hili ndo la muhimu. Ahsante kwa mchango wako
 
Kwanza inabidi upange ni eneo gani utatumia, hapo ndio utaangalia katika eneo lako kuna maji na umeme.

Vifaa vinavyotakiwa uwe navyo ni Pressure washer mashine hapa zipo za aina mbili kuna za umeme na mafuta(petrol). Kama mtaji mdogo inabidi uanze na ya petrol maanna gharama zake ni nafuu unaweza pata mpya kuanzia laki 6.

Kama hakuna maji ya bomba itabidi uwe na tank la maji, pia unaweza ukaweka Vacuum Cleaner Kwa ajili ya kunyonya vumbi kwenye magari hapa unaweza kupata hata za laki 6.

Sijajua wewe una plan za kuanzisha eneo lipi,makadirio ya mtaji na vifaa utavyopenda kuweka.
 
Exactly...
 
Mtu anasema hana mtaji mkubwa,sasa unashauri nini hapo? huwezi mshauri mtu kitu kama hasemi ana mtaji kiasi gani maana mtaji ambao si mkubwa n(ndio kiasi gani hicho) unaweza ukajitesa toa ya moyoni weee mwisho wa siku mtu kumbe ana Laki 3.

unapotaka kushauriwa juu ya biashara yyte lazima uweke wazi kila ulichonacho kuanzia mtaji,baadhi ya vifaa (kama unavyo),nk kisha mtu anaetaka kukushauri ndio atajua agusie angle ipi na ipi ili upate kile ulichotaka.

Ni sawa na mtu akwambie nishauri kuhusu biashara ya Pool Table,hana pool table,hajui linauzwaje,hajui location gani inafaa,hajui chochote kile kuhusu biashara anayotaka,huyu mtu unamshauri nini unafkiri?

Nawambiaga watu wakija kwangu wawe wanajua nini wanataka na mostly napenda watu ambao tayari wako ktk game,ashaingia kazini kisha ndio anaomba ushauri (huyu mtu unamuelewa) ila kuna mtu kalala kitandani au kwenye kochi sebleni anakuja anakutafuta umshauri kuhusu biashara flani (mimi sijitoagi kwa watu wa namna hii) maaana mara nyingi ni wapima kina cha bahari kwa kutazama (sio watendaji)

Nisamehewe kama kuna nilipoandika kitu kikatafsiriwa vibaya.
Mfano unajua kuhusu hiyo biashara.

Ukaandika kila kitu kisha yeye akajua pumba na mchele ingekuaje? Mbona urefu ungekua sawa tu na hii ranting uliyoiandika hapa?
 
Presha water(pump ya kupuliza maji)
Eneo zuri la kufanyia kazi.

ukishapata eneo zuri la kazi iwe lako ama lakukodi,andaa fedha ya kuvuta maji ya bomba,kama ilo eneo lina maji basi andaa hela ya kufungia mita yako ya maji.

ili kupunguza gharama hakikisha ilo eneo linaumeme na mahala pakutunzia vifaa vyako vya kazi.
kwa mimi ni hayo tu bwashee,mambo mengine ngoja waje wakuda waongezee.
 
Exactly...
Kama anataka classic car wash yenye mashine kubwa ya pressure,vacuum cleaner,mashine ya mvuke,sehemu ya parking(shadow), sehemu ya wateja kusubiri hapo inabidi aandae pesa ndefu kidogo.

Kupanga ni kuchagua unaweza ukaanza na pressure washer tu na kuna car wash nyingine za magari makubwa hata bila mashine unafanya kazi kikubwa eneo na maji ya kutosha.
 
No sina uwezo wa ku set up hiyo classic car wash now. Mji niliopo kuna sehemu nyingi za wazi lkn kuna vijana wako na ndoo na vitambaa wanaosha magari, i guess hawa wanajitegemea. Hawatanikimbiza hawa nikienda sehemu hii?? N then nikiweka vijana wanioshee magari natakiwa kuwalipa bei gani( standard pay) ? Hua wanalipa daily or monthly?
 
Back
Top Bottom