Ushauri: Naacha chuo nijikite biashara ya sarafu mtandaoni FOREX

Serikali ndo imekusomesha na kukulipia mahitaji yote kuanzia unaanza chekechea, au umepata boom unaona wazazi hawana mchango tena

Dogo fanya forex lakini kazana umalize chuo, ujinga wako huo utakuja kuua wazazi Bure
Shukrani kwa ushauri
 
Kwani uwez kusoma huku una trade online acha upuuz shenzi typu

Alfu wee CYO mwanfunzi umemaliza chuo umekoza Kaz. Unakuja kujitete hapa
 
Kwanza namba 1 umekosea. Lengo la shule ni kutoa elimu, si kukutafutia hela.

Utaitumiaje hiyo elimu kufiki mafanikio thats up to you
 
Habar wakuu

Mm ni mwanafunzi wa kozi ya technical education in electric and electronics eng, umri wangu 23yrs...

Kwanza namba 1 umekosea. Lengo la shule ni kutoa elimu, si kukutafutia hela.

Utaitumiaje hiyo elimu kufiki mafanikio thats up to you
 
Manufaa yapi umeona huko
 
Forex au sio haya tupo hapa tutaona
 
acha sikushauri utaweza kufanya hio Forex baada ya kumaliza chuo miaka mingine yote iliyobaki unafanya hadi kufa nakupa big no soma mdogo wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…