Ushauri: Naacha chuo nijikite biashara ya sarafu mtandaoni FOREX

Ushauri: Naacha chuo nijikite biashara ya sarafu mtandaoni FOREX

Serikali ndo imekusomesha na kukulipia mahitaji yote kuanzia unaanza chekechea, au umepata boom unaona wazazi hawana mchango tena

Dogo fanya forex lakini kazana umalize chuo, ujinga wako huo utakuja kuua wazazi Bure
Shukrani kwa ushauri
 
Kwani uwez kusoma huku una trade online acha upuuz shenzi typu

Alfu wee CYO mwanfunzi umemaliza chuo umekoza Kaz. Unakuja kujitete hapa
 
Habar wakuu

Mm ni mwanafunzi wa kozi ya technical education in electric and electronics eng, umri wangu 23yrs

Nimekuja hapa kuomba ushauri nimefanya uchunguzi wangu wa kina kwa miaka5 pamoja na kutafuta maarifa baada ya kujaribu forex nimeona Ina manufaa kwangu... Hivyo nimekuja kuomba ushauri naacha chuo ili nijikite zaidi huko...
Kwanza namba 1 umekosea. Lengo la shule ni kutoa elimu, si kukutafutia hela.

Utaitumiaje hiyo elimu kufiki mafanikio thats up to you
 
Habar wakuu

Mm ni mwanafunzi wa kozi ya technical education in electric and electronics eng, umri wangu 23yrs...

Kwanza namba 1 umekosea. Lengo la shule ni kutoa elimu, si kukutafutia hela.

Utaitumiaje hiyo elimu kufiki mafanikio thats up to you
 
Habar wakuu

Mimi ni mwanafunzi wa kozi ya technical education in electric and electronics eng, umri wangu 23yrs

Nimekuja hapa kuomba ushauri, nimefanya uchunguzi wangu wa kina kwa miaka5 pamoja na kutafuta maarifa baada ya kujaribu forex nimeona Ina manufaa kwangu...
Manufaa yapi umeona huko
 
Habar wakuu

Mimi ni mwanafunzi wa kozi ya technical education in electric and electronics eng, umri wangu 23yrs

Nimekuja hapa kuomba ushauri, nimefanya uchunguzi wangu wa kina kwa miaka5 pamoja na kutafuta maarifa baada ya kujaribu forex nimeona Ina manufaa kwangu... Hivyo nimekuja kuomba ushauri naacha chuo ili nijikite zaidi huko.. Hoja zangu Ni kama ifuatavyo

1. Shule naona inapoteza muda na lengo la shule ni kutafuta hela as long as nimepata shortcut ya pesa why niendelee na shule?

2. Kujiepusha kuwa miongon mwa wahanga wa ajira mbeleni, ni heri nijiondoe mapema nikajitafute!!

3. Kitu ninachokisoma sijawahi kufikiria kama ningesoma, naona nilifata mkumbo, kuepusha majuto zaidi Ni heri nijichomoe mapema?

4. All in all what determines a man is his/her success, u choose to be part of success through FOrex

Hizo ndio points zangu.. Naomba ushauri na mawazo, ningeweza kuomba watu wanaonizunguka but najua sio rahisi wao kumkubalia na na mimi, but naamin humu JF kuna watu wenye upeo mkubwa, nakaribisha michango.
Forex au sio haya tupo hapa tutaona
 
Back
Top Bottom