Ushauri: Nahitaji dawa ya kuondoa upara (uwalaza)

Habari zenu wana JF

Poleni sana na Swaumu naimani tunaendelea na Mfungo Mtukufu wa Ramadhani

Ndugu zangu nina miaka 25 Mzee wangu ana Uwaraza kwa Mbele hapa ule wanauita Upara wa Pesa. Sasa naona kama nimerithi kwake na maana nywele zangu za hapa Mbele zinakatika zinakua fupi kuliko nyingine halafu nikijiamgalia kwenye kioo naanza kuona ile Ngozi za kichwa kwa mbali.

So, wanadugu jamani kwa yeyete mwenye anajua dawa ya kutibu upara au uwaraza kwa njia yeyote ile iwe ni kwa kutumia dawa za asili ama kama kuna mafuta ya kununua ya kupaka please naombeni mnisaidie[emoji1488][emoji1488]

Usipate shida, pita saloon wanayonyoa nywele za popote pitia dukani kwa mpemba nunua super glue yako.unapaka super glue na kurushia zile nywele utakuja kutushukuru hapa
 
Hiyo hali sasa uwe na tusenti tu utamsikia Evelyn Salt kila saa aaah babes wewe ni ni handsome na upara?

Ila jokes aside I find bald men attractive. Sikuambii usihangaike nao kama unakukosesha raha but embrace ypurseld and know that it is not really a big deal.

Kuna namna upara unakuwaga mtam when bae is sliding in. And doing those pushups.

🤭🤭
 
🤣🤣🤣🤣🤣 Karucee wait!!! Upara upi mtamu ni kama wa mzee cheyo au wa lipumba 😂😂😂😂
 
Upara sio ugonjwa so hauwezi kuwa na dawa. Ni maumbile. Kama vile walivyo watu wafupi, watu weusi, weupe, wenye nywele kama kachumbali, kipilipili, wenye sura ya duara, wenye sura ndefu, wenye matiti makubwa kama begi, wenye matiti madogo.

Haya ni maumbile. Kinachokusumbua ni kulazimisha ufanane na watu wengine ili uvutie sasa sijui kwa faida gani.

Hapa ndipo ule msemo wa jikubali unapokuja kutumika. Yaani kabla haujataka kulazimisha ufanane na mtu jitazame wewe upoje ili kama kuna features mnafanana unaweza mcopy ila kama haifananii kwa asilimia 100% then tafuta mtu unayefanania nae ambaye anapendeza then copy style yake.

Unaweza kubakia na upara wako na nywele za ubavuni au unaweza nyoa upara kabisa kama unakichwa kizuri cha kunyoa na ukaenda vizuri na aina fulani za mavazi.

So kaa upya ujidesign muonekano wako. Achana na kujiwazia kuwa una dosari inayotakiwa matibabu.
 
Maelezo mazuri, in short hakuna dawa ya upara, atatapeliwa bure
 
Kubali matokeo, na uanze kuacha mambo ya ujana. UJANA MAJI YA MOTO
 
Ndugu kwa ushauri wangu usijiangaishe kutafuta madawa hutoweza. Hiko kipata ni cha kurithi nikama ulivyorithi baadhi ya vitu mfano rangi, urefu, ndevu etc

Kuna jamaa ninamfahami anapesa ameshakomaa kukiondoa kipara lakini amesanda. Njia nzuri Anza kunyoa nywele zibaki ndogo,.Jinsi kipara kinavyo ongezeka nawewe nae unazidi kunyoa kuendana na hiko kipara.

Unaona kina Idris sultan, Mr blue walikuwa wananywele kibao walikuwa wakibadili mitindo ya nywele karibia kila siku kama anavyofanya jux,,Lakini upara ulivyoingia nawenyewe wameanza kunyoa kipara, sio kwamba wanapenda hapana hiyo ndio best option iliyobakia na still wanapendeza.
Huyo unaesema mwenye pesa na amejaribu sana kukiondoa akashindwa bila shaka si mtafiti.
Kipendi kile wanaintroduce tech. Ya kuotesha nywele hukuwepo? Mpaka wyne Rooney akaotesha..

Ama huenda huyo tajiri alikuwa hajazaliwa.! Hata hapa Kwetu kuna klinic binafsi za ngozi za watu wa nje mfano masaki ipo Premier care. Ni ya Rafik yang Dr. Albanne.

Wanaprocedures nyingi tu za ngozi. Mfano kuondoa mikunjo, (wrinkles) kama za mtt wa mkulima, kuondoa excess hairs nk..
 
Habari zenu wana JF

Poleni sana na Swaumu naimani tunaendelea na Mfungo Mtukufu wa Ramadhani

Ndugu zangu nina miaka 25 Mzee wangu ana Uwaraza kwa Mbele hapa ule wanauita Upara wa Pesa. Sasa naona kama nimerithi kwake na maana nywele zangu za hapa Mbele zinakatika zinakua fupi kuliko nyingine halafu nikijiamgalia kwenye kioo naanza kuona ile Ngozi za kichwa kwa mbali.

So, wanadugu jamani kwa yeyete mwenye anajua dawa ya kutibu upara au uwaraza kwa njia yeyote ile iwe ni kwa kutumia dawa za asili ama kama kuna mafuta ya kununua ya kupaka please naombeni mnisaidie[emoji1488][emoji1488]

Jichanje chale nyingi kwenye uwalaza harafu paka pilipili utakuja kunishukuru

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo jamaa wa miongozo hanaga ushauri wowote wala points zozote zaid ya hiyo komenti yake moja tangu ajiunge JF...
Ni komenti nzuri lakini maana huwa anaileta baada ya watu kutoa mawazo yao na kujadili vya kutosha...
Ajabu ni huyo mtoa mada kukana kwamba hajapata mwongozo wakati watu wamepoteza muda wao kumwandikia ushauri kedekede hapa
 
Back
Top Bottom