captain zaka
JF-Expert Member
- Apr 19, 2025
- 262
- 258
Naunga mkonoMm sikushauri uchukue mkopo kwa ajili ya kuanza biashara ambayo hauna uelewa nao vizuri.Asante
Mkuu mpaka hapo ushafeli maana mambo mengi kuhusiana na hiyo deal hauna uhakika nayo, vitu vingi unasema UNASIKIA, Sasa pesa ya mkopo hiyo angalia isikutokee puaniHabar mimi naishi Dar nataka niombe mkopo wa million 30 kwajili ya biashara ya mahindi, nikachkue vijijini tani 32 nilete Dar kuuza kwani kwenye tani nyingi ndo faida ilipo. Mnashaurije wadau? Hilo la kwanza.
La pili : Soko nimepata nasikia Kibaha kwa wachina ukipeleka ni fasta tu na malipo ni siku 3 mpk 5 je ni kweli na je kuna changamoto yoyote?
La Tatu: Ninachoogopa mimi ni upande wa Quality nasikia kuna quality inayohitajika kwa mahindi ya zamani na mapya kuhusu unyevunyevu au moisture, sasa nitajuaje hiyo quality nasikia kuna kile kifaa je nitaweza kupima tani 32 kwa haraka haraka na kule kwenye soko je wanakata bei wakiona quality yako ndogo?
KAMA KUNA MTU ANAYEHUSIKA ANAYEFAHAMU ZAIDI JUU YA HILI ANICHEKI MSAADA WAKO MUHIMU
Nilichojifunza ni kwamba, pesa ya mkopo haitumiki kuanzisha biashara mpya, ila inatumika kuboresha biashara ambayo tayari ilikuwepo.Habar mimi naishi Dar nataka niombe mkopo wa million 30 kwajili ya biashara ya mahindi, nikachkue vijijini tani 32 nilete Dar kuuza kwani kwenye tani nyingi ndo faida ilipo. Mnashaurije wadau? Hilo la kwanza.
La pili : Soko nimepata nasikia Kibaha kwa wachina ukipeleka ni fasta tu na malipo ni siku 3 mpk 5 je ni kweli na je kuna changamoto yoyote?
La Tatu: Ninachoogopa mimi ni upande wa Quality nasikia kuna quality inayohitajika kwa mahindi ya zamani na mapya kuhusu unyevunyevu au moisture, sasa nitajuaje hiyo quality nasikia kuna kile kifaa je nitaweza kupima tani 32 kwa haraka haraka na kule kwenye soko je wanakata bei wakiona quality yako ndogo?
KAMA KUNA MTU ANAYEHUSIKA ANAYEFAHAMU ZAIDI JUU YA HILI ANICHEKI MSAADA WAKO MUHIMU
Dodoma mjini?Hapo kwenye soko ndio muhimu zaidi kujiridhisha kabla hujaingia vitani Ubora wa mahindi ndio kitu cha kwanza waunazingatia na ukitaka mahindi mazuri weka kambi dodoma
Sawa kaka nimeelewa japo nimefanya utfti vzur mno na kuna baba angu mdogo anafanya hizo issue , Am just 24 yrs now so ananipa escortMm sikushauri uchukue mkopo kwa ajili ya kuanza biashara ambayo hauna uelewa nao vizuri.Asante
Sawa nimeelwa ila Nd maana natafta hizo ABC nkishamaliza naanza kazi...Am 24 nimemaliz chuo nimefanya Kaz za vitunguu majinvery high risk mashamban na mvua na unajua vitunguu natoa mang'ola napeleka dar , singida , iringa uko nyanzwa , njombe , moshi kote nimeingy kwaiy mahindi naona kwangu risk ndogo ila ndoivo natfta kwanz nyie viongoz wangu mnipe maelekezo muhimBwashee, watu wanachukua mkopo kuendeleza biashara! Wewe unataka kurisk pesa yote hiyo halafu bado huna abc za hiyo biashara? Nakushauri komaa upate hela walau ya tani 3-6 kwanza anza mdogo mdogo , ukiona mwanga ndo uwaze kukopa sasa !