Hata mimi nakubaliana na wewe, mwanamke akishazaa umbile lake halisi ndo litajionyesha kabisa, sahivi anawezankuhangaika sana bila mafanikio lakini akishazaa ndo umbo lake litajirudiHi hali huwapata sana wadada kwenye umri Fulani ila inachangiwa na hormonal imbalances utahangaika sana ila .
Tiba kubwa ni kuwa na mtoto baadae hormone zinabalance.
Utaende gym zote wapi ila pia punguza red meat.
😱Pole sana mkuu,
Miss Natafuta Hilo tatizo la unene kupindukia sio lako peke yako ni tatizo la watu wengi, na hii ni kulingana na ulaji usio na mpangilio. Mimi pia nilikuwa na hilo tatizo na nilikuwa najichukia sana, ila wahenga wanasema ''atafutae hachoki, akichoka kapata'' siku moja nikawa napitia huku JamiiForums katika Uzi mbalimbali za kupunguza unene kwa haraka, nikaona uzi wa falcon mombasa unasema;
Dawa ipi itakayonifanya kuharisha?
Nikasoma nikaona kuwa mkuu aitumia vitunda fulani akapunguza kilo kwa haraka, kazi ikawa eneo la kuvipata, nikahangaika kuuliza kwa watu wakaniambia kwa Masai, ndio nikapata na kuanza kutumia, nilikuwa na kilo 67, nikapungua ndani ya miezi miwili kilo 3, bado natumia, tena wanakueleza na namna ya kutumia. unatakiwa kuwa nyumbani maana ni ''unaharisha haswa''...ukitaka kukata kuharisha unakunywa maji ya baridi.
Haviuzwi ghali..kuanzia buku 1/1000, Masai wa Kawe...Ukini PM nitakuelekeza kwa Masai wangu..wengine wanauza ghali.
Shukrani kwa; falcon mombasa na JamiiForums
Weka picha bila sura yako nione huo mwili maana huwa mnasema mmenenepa lakini kumbe ulikuwa na uzito kilo 56 sasa hivi ni 60 unaanza kuhangaika!Najichukia sana huu mwili wangu nimekuwa linene libayaa!
natamani kujipunguza ila sipungui, natamani kujinyima kula ila nachoka inabidi nile japo kidogo.
Asubuhi nilikula chapati mbili na chai kidogo mchana nikala biriani kidogo na nyama mbili, jioni nimekula nyama cha kuchemsha kama robo na kachumbari.
Hapa nipo nafanya mazoezi ninywe maji moto nilale, nimeuchoka huu mwili nataka kesho nikaogelee ila sina mvuto kama zamani natamani nisiende ila marafiki zangu wataumia.
Serias kama kuna dawa naombeni ila sijazaa mwenzenu zisije zikayeyusha mayai yangu.
basi hutaweza kupungua. unatakiwa upige desh kwa zaidi ya mwezi na unywe maji, si unajua njaa ya mtu aliyekunywa maji bila kula ipoje. lazima mwili utaisha.mkuu mimi siwezi kupiga deshi siku nzima jamani loh
Mkuu nimekuwa miss ha ha haaa
Anza na clean9 za watu wa forever zile,weka target ya kupungua uzito kama mwaka au miaka miwili ili upate matokeo ya kudumu kwa kubadili lifestylesitanii jamani nisaidieni nasikia kuna dawa nishaurini ambazo hazina side effect
Nitafute mimi nikupe Dawa ya kupunguwa huo unene wako. DAWA YA KUPUNGUZA UNENE MAFUTA,KILO NA TUMBO FITOFORM PLUS+. Ukihitaji nitafuteNajichukia sana huu mwili wangu nimekuwa linene libayaa!
natamani kujipunguza ila sipungui, natamani kujinyima kula ila nachoka inabidi nile japo kidogo.
Asubuhi nilikula chapati mbili na chai kidogo mchana nikala biriani kidogo na nyama mbili, jioni nimekula nyama cha kuchemsha kama robo na kachumbari.
Hapa nipo nafanya mazoezi ninywe maji moto nilale, nimeuchoka huu mwili nataka kesho nikaogelee ila sina mvuto kama zamani natamani nisiende ila marafiki zangu wataumia.
Serias kama kuna dawa naombeni ila sijazaa mwenzenu zisije zikayeyusha mayai yangu.
Ingia facebook, halafu search #rajanhumotivationprogram. Fuatilia post zake, ukiweka dhamira na bidii na kufuata maelekezo ya darasa utafanikiwa.Najichukia sana huu mwili wangu nimekuwa linene libayaa!
natamani kujipunguza ila sipungui, natamani kujinyima kula ila nachoka inabidi nile japo kidogo.
Asubuhi nilikula chapati mbili na chai kidogo mchana nikala biriani kidogo na nyama mbili, jioni nimekula nyama cha kuchemsha kama robo na kachumbari.
Hapa nipo nafanya mazoezi ninywe maji moto nilale, nimeuchoka huu mwili nataka kesho nikaogelee ila sina mvuto kama zamani natamani nisiende ila marafiki zangu wataumia.
Serias kama kuna dawa naombeni ila sijazaa mwenzenu zisije zikayeyusha mayai yangu.
Najichukia sana huu mwili wangu nimekuwa linene libayaa!
natamani kujipunguza ila sipungui, natamani kujinyima kula ila nachoka inabidi nile japo kidogo.
Asubuhi nilikula chapati mbili na chai kidogo mchana nikala biriani kidogo na nyama mbili, jioni nimekula nyama cha kuchemsha kama robo na kachumbari.
Hapa nipo nafanya mazoezi ninywe maji moto nilale, nimeuchoka huu mwili nataka kesho nikaogelee ila sina mvuto kama zamani natamani nisiende ila marafiki zangu wataumia.
Serias kama kuna dawa naombeni ila sijazaa mwenzenu zisije zikayeyusha mayai yangu.
Pole sana, mazoezi na diet nzuri itasaidia sana kuliko dawa