Ushauri: Najichukia sana unene wangu mpaka nakosa usingizi

Hi hali huwapata sana wadada kwenye umri Fulani ila inachangiwa na hormonal imbalances utahangaika sana ila .

Tiba kubwa ni kuwa na mtoto baadae hormone zinabalance.

Utaende gym zote wapi ila pia punguza red meat.
Hata mimi nakubaliana na wewe, mwanamke akishazaa umbile lake halisi ndo litajionyesha kabisa, sahivi anawezankuhangaika sana bila mafanikio lakini akishazaa ndo umbo lake litajirudi
 
Pole sana mkuu,

Miss Natafuta Hilo tatizo la unene kupindukia sio lako peke yako ni tatizo la watu wengi, na hii ni kulingana na ulaji usio na mpangilio. Mimi pia nilikuwa na hilo tatizo na nilikuwa najichukia sana, ila wahenga wanasema ''atafutae hachoki, akichoka kapata'' siku moja nikawa napitia huku JamiiForums katika Uzi mbalimbali za kupunguza unene kwa haraka, nikaona uzi wa falcon mombasa unasema;
Dawa ipi itakayonifanya kuharisha?
Nikasoma nikaona kuwa mkuu aitumia vitunda fulani akapunguza kilo kwa haraka, kazi ikawa eneo la kuvipata, nikahangaika kuuliza kwa watu wakaniambia kwa Masai, ndio nikapata na kuanza kutumia, nilikuwa na kilo 67, nikapungua ndani ya miezi miwili kilo 3, bado natumia, tena wanakueleza na namna ya kutumia. unatakiwa kuwa nyumbani maana ni ''unaharisha haswa''...ukitaka kukata kuharisha unakunywa maji ya baridi.

Haviuzwi ghali..kuanzia buku 1/1000, Masai wa Kawe...Ukini PM nitakuelekeza kwa Masai wangu..wengine wanauza ghali.

Shukrani kwa; falcon mombasa na JamiiForums
 
😱
 
Najichukia sana huu mwili wangu nimekuwa linene libayaa!
natamani kujipunguza ila sipungui, natamani kujinyima kula ila nachoka inabidi nile japo kidogo.

Asubuhi nilikula chapati mbili na chai kidogo mchana nikala biriani kidogo na nyama mbili, jioni nimekula nyama cha kuchemsha kama robo na kachumbari.

Hapa nipo nafanya mazoezi ninywe maji moto nilale, nimeuchoka huu mwili nataka kesho nikaogelee ila sina mvuto kama zamani natamani nisiende ila marafiki zangu wataumia.

Serias kama kuna dawa naombeni ila sijazaa mwenzenu zisije zikayeyusha mayai yangu.
Weka picha bila sura yako nione huo mwili maana huwa mnasema mmenenepa lakini kumbe ulikuwa na uzito kilo 56 sasa hivi ni 60 unaanza kuhangaika!
 
mkuu mimi siwezi kupiga deshi siku nzima jamani loh
basi hutaweza kupungua. unatakiwa upige desh kwa zaidi ya mwezi na unywe maji, si unajua njaa ya mtu aliyekunywa maji bila kula ipoje. lazima mwili utaisha.
 
sitanii jamani nisaidieni nasikia kuna dawa nishaurini ambazo hazina side effect
Anza na clean9 za watu wa forever zile,weka target ya kupungua uzito kama mwaka au miaka miwili ili upate matokeo ya kudumu kwa kubadili lifestyle
 
Ondoa hiyoo kutuu wewe hujafanya mapenzi 5 yrs na unahisi nikawaida
Kuhusu uzito chek na stress zako
Achana na vyakula vya mliman city kula normal food kama vile ulivokuwa unakula kijijini kwenu
Mazowezi isiwee kama ile ya kuonyesha instaa noo fsnyaa iwee hob yako na upendee na weka kwa ratibaa u will see
Mwishoo jalibu kutafuta mwanaume wa kukuchosha sio kabao kamoja amelela noo
Njoo pm hapo nikupe normal love ukonde then ukiwaa fresh tunaachana
 
Mtafute Dr Mkumbo fb anakua na program zankuwashauri watu kupunguza uzito natumai utafanikiwa
 
Najichukia sana huu mwili wangu nimekuwa linene libayaa!
natamani kujipunguza ila sipungui, natamani kujinyima kula ila nachoka inabidi nile japo kidogo.

Asubuhi nilikula chapati mbili na chai kidogo mchana nikala biriani kidogo na nyama mbili, jioni nimekula nyama cha kuchemsha kama robo na kachumbari.

Hapa nipo nafanya mazoezi ninywe maji moto nilale, nimeuchoka huu mwili nataka kesho nikaogelee ila sina mvuto kama zamani natamani nisiende ila marafiki zangu wataumia.

Serias kama kuna dawa naombeni ila sijazaa mwenzenu zisije zikayeyusha mayai yangu.
Nitafute mimi nikupe Dawa ya kupunguwa huo unene wako. DAWA YA KUPUNGUZA UNENE MAFUTA,KILO NA TUMBO FITOFORM PLUS+. Ukihitaji nitafute
kwa Mawasiliano Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169

FITOFORM PLUS.jpg

DAWA YA KUPUNGUZA UNENE MAFUTA,KILO NA TUMBO FITOFORM PLUS+
 
Najichukia sana huu mwili wangu nimekuwa linene libayaa!
natamani kujipunguza ila sipungui, natamani kujinyima kula ila nachoka inabidi nile japo kidogo.

Asubuhi nilikula chapati mbili na chai kidogo mchana nikala biriani kidogo na nyama mbili, jioni nimekula nyama cha kuchemsha kama robo na kachumbari.

Hapa nipo nafanya mazoezi ninywe maji moto nilale, nimeuchoka huu mwili nataka kesho nikaogelee ila sina mvuto kama zamani natamani nisiende ila marafiki zangu wataumia.

Serias kama kuna dawa naombeni ila sijazaa mwenzenu zisije zikayeyusha mayai yangu.
Ingia facebook, halafu search ‪#‎rajanhumotivationprogram‬. Fuatilia post zake, ukiweka dhamira na bidii na kufuata maelekezo ya darasa utafanikiwa.

Anaendesha hiyo program ni mtu ambae namfahamu, na yeye alifanya yote hayo na kupungua pasipo kutumia dawa ya aina yoyote. Zoezi tu.

Kila la kheri.
 
Acha kutumia dawa, tafuta mchumba wa kikurya atakupa stress ndani ya wiki moja ume lose 15kg.... Huwez kupungua kama akili imetulia na huna stress kabisa.
 
pole sana,mbona unene wako ni wa kawaida,ungeniona mimi je ? lol
 
Lakin hauwez kuwa serious unataka kupungua ilihali unakula nyama...... Wali etc .. Fanya mazoezi issue sio kuwa mnene, Bali kuwa na mwili Ambao upo structured.
 
Najichukia sana huu mwili wangu nimekuwa linene libayaa!
natamani kujipunguza ila sipungui, natamani kujinyima kula ila nachoka inabidi nile japo kidogo.

Asubuhi nilikula chapati mbili na chai kidogo mchana nikala biriani kidogo na nyama mbili, jioni nimekula nyama cha kuchemsha kama robo na kachumbari.

Hapa nipo nafanya mazoezi ninywe maji moto nilale, nimeuchoka huu mwili nataka kesho nikaogelee ila sina mvuto kama zamani natamani nisiende ila marafiki zangu wataumia.

Serias kama kuna dawa naombeni ila sijazaa mwenzenu zisije zikayeyusha mayai yangu.

12:11

Wito Kwa Watanzania, Tupunguze Unene/Vitambi Kwa Tiba Lishe Ili Tusiwatese Wenzetu.
Pascal Mayalla
 
Back
Top Bottom