Kipimo cha stress unajiona tu mwenyewe kuwa na depressed kuna muda matatzo mengi huletwa na mawazo kupitiliza kwasababu hufanya mwili kuzalisha chemicals ambazo hazihitajiki kwa muda huo na kuleta madhara mfanokuna kipimo cha stress?
hormone zangu nadhani zipo ok maana nableed kila baada ya siku 28
Inamaana umeongeza 19kgs kwa miezi 11 ambazo ni nyingi tu.my dear yote hayo nimeshafanya na ninafanya ila kila siku nipo pale pale 94-93
Husababisha unene ndio kwa age hiyo ni vema pia ukafanya maamuzi ya kupata mtotohuwa inasababisha unene?
Hebu nenda pale makutano ya mitaa ya Livingstone na Ungoni wana dawa za asili za kiarabu zimewasadia wengi.nikifika kg 70 nitakupa
True hata mimi nimemshauri hivyo maana kuna vitu ving behind kugain weight so fastHi hali huwapata sana wadada kwenye umri Fulani ila inachangiwa na hormonal imbalances utahangaika sana ila .
Tiba kubwa ni kuwa na mtoto baadae hormone zinabalance.
Utaende gym zote wapi ila pia punguza red meat.
Badilisha life style na lishe.najichukia sana huu mwili wangu nimekuwa linene libayaaa
natamani kujipunguza ila sipungui ,natamani kujinyima kula ila nachoka inabidi nile japo kidogo
asubuhi nilikula chapati mbili na chai kidogo
mchana nikala biriani kidogo na nyama mbili
jioni nimekula nyama cha kuchemsha kama robo na kachumbari.
Hapa nipo nafanya mazoezi ninywe maji moto nilale,
nimeuchoka huu mwili nataka kesho nikaogelee ila sina mvuto kama zamani natamani nisiende ila marafiki zangu wataumia.
Serias kama kuna dawa naombeni ila sijazaa mwenzenu zisije zikayeyusha mayai yangu
najichukia sana huu mwili wangu nimekuwa linene libayaaa
natamani kujipunguza ila sipungui ,natamani kujinyima kula ila nachoka inabidi nile japo kidogo
asubuhi nilikula chapati mbili na chai kidogo
mchana nikala biriani kidogo na nyama mbili
jioni nimekula nyama cha kuchemsha kama robo na kachumbari.
Hapa nipo nafanya mazoezi ninywe maji moto nilale,
nimeuchoka huu mwili nataka kesho nikaogelee ila sina mvuto kama zamani natamani nisiende ila marafiki zangu wataumia.
Serias kama kuna dawa naombeni ila sijazaa mwenzenu zisije zikayeyusha mayai yangu
huyo ni kichaa mkuu achana naeKuokoka sio dawa ya unene Jamaa, mfumo wa chakula ndio issue kubwa! Aujue mwili wake na afya iimarike ndio mtu anaweza kuabudu vizuri! Vinginevyo unatumia dini vibaya.... Chunga kauli zako
nitazaa soon ndo nipo kwenye mchakato wa kupata baby dadyHusababisha unene ndio kwa age hiyo ni vema pia ukafanya maamuzi ya kupata mtoto
Njoo pmnitazaa soon ndo nipo kwenye mchakato wa kupata baby dady
ahahaaa acha hizo bna siwezi kukosea tena mkuu yaani huwezi nidanganyaNjoo pm
Hivi mtu mzima above 25 yrs of age unaanzaje kumdanganya jamani labda kuweka makubaliano tu .ahahaaa acha hizo bna siwezi kukosea tena mkuu yaani huwezi nidanganya
siitaji ushauri kwenye hilo mkuu! tena toka kwa mwanaume big no mkuu!Hivi mtu mzima above 25 yrs of age unaanzaje kumdanganya jamani labda kuweka makubaliano tu .
Don't put -ve attitude who cheated you ? Why did he cheated? Why not someone else it must be a lesson and preparation for your future.