kasanda mnyamwezi
Member
- Oct 14, 2016
- 35
- 29
pole
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asante mkuupole
Mi vibonge ndo gari zangu izo daah.! Ushasumbua ubongo wangu tiari,embu njoo huku chumbani maramoja dearnajichukia sana huu mwili wangu nimekuwa linene libayaaa
natamani kujipunguza ila sipungui ,natamani kujinyima kula ila nachoka inabidi nile japo kidogo
asubui nilikula chapati mbili na chai kidogo
mchana nikala biriani kidogo na nyama mbili
jioni nimekula nyama cha kuchemsha kama robo na kachumbari
hapa nipo nafanya mazoezi ninywe maji moto nilale
nimeuchoka huu mwili nataka kesho nikaogelee ila sina mvuto kama zamani natamani nisiende ila marafiki zangu wataumia
serias kama kuna dawa naombeni ila sijazaa mwenzenu zisije zikayeyusha mayai yangu
huoni hayo ni adhabu mkuuRidhika na uupende mwili wako however fat you are. Chamsingi hakikisha unafanya mazoezi routinely (watafute wataalamu wa mazoezi ya kukata mafuta mwilini) kula vyakula jamii ya mbogamboga na matunda (punguza carbohydrates na mafuta) na uwe unafanya regular health check ups (at least kila baada ya 3 months) to make sure that you stay healthy licha ya ubonge wako. Good night!
nina majonzi ujue am 93!Mi vibonge ndo gari zangu izo daah.! Ushasumbua ubongo wangu tiari,embu njoo huku chumbani maramoja dear
Hizo limao unakamulia kwenye hayo maji au? To darasa mkuu mim kitambi kinanikera sana, mwishoe kitapunguza urefu wa cassava yanguKwenye maji yeyote unayokunywa weka limau Au ndimu mbili mpk nne.
Kwenye profile pic ni wewe?najichukia sana huu mwili wangu nimekuwa linene libayaaa
natamani kujipunguza ila sipungui ,natamani kujinyima kula ila nachoka inabidi nile japo kidogo
asubui nilikula chapati mbili na chai kidogo
mchana nikala biriani kidogo na nyama mbili
jioni nimekula nyama cha kuchemsha kama robo na kachumbari
hapa nipo nafanya mazoezi ninywe maji moto nilale
nimeuchoka huu mwili nataka kesho nikaogelee ila sina mvuto kama zamani natamani nisiende ila marafiki zangu wataumia
serias kama kuna dawa naombeni ila sijazaa mwenzenu zisije zikayeyusha mayai yangu
Leta mwili huo niutumie binti utapungua tunaweka mkuu na matango juu
Kaa na unene wako hapo, jichukie mpaka unywe sumu.mi sikujui nakujulia wapi?
not me ni sample tuKwenye profile pic ni wewe?
Ushakataliwa povu la nini[emoji23]Kaa na unene wako hapo, jichukie mpaka unywe sumu.
Hahaa hata ivo punguza mapocho,nina majonzi ujue am 93!
Fanya jogging at least once per daynot me ni sample tu
hata sili sana mkuu nakula tu kama raia wengineHahaa hata ivo punguza mapocho,
Well, ukitaka cha uvunguni bibie.... We unadhan Rihanna amefanikiwa kumaintain lile body lake kirahisi tu? A big sacrifice has to be madehuoni hayo ni adhabu mkuu
Tafuta mtaalamu wa mazoezi na diet, hizo dawa miss utajiletea huzuni na mfadhaiko usiokuwa na mwishositanii jamani nisaidieni nasikia kuna dawa nishaurini ambazo hazina side effect
hapa yenyewe naruka kamba nakupost post humuFanya jogging at least once per day
[emoji3] [emoji3] goodhapa yenyewe naruka kamba nakupost post humu
ahaaa acha ujinga wewe !Punguza kupiga mizinga uone kama hupungui. [emoji23][emoji23]