Ushauri: Najichukia sana unene wangu mpaka nakosa usingizi

najichukia sana huu mwili wangu nimekuwa linene libayaaa
natamani kujipunguza ila sipungui ,natamani kujinyima kula ila nachoka inabidi nile japo kidogo
asubui nilikula chapati mbili na chai kidogo
mchana nikala biriani kidogo na nyama mbili
jioni nimekula nyama cha kuchemsha kama robo na kachumbari
hapa nipo nafanya mazoezi ninywe maji moto nilale
nimeuchoka huu mwili nataka kesho nikaogelee ila sina mvuto kama zamani natamani nisiende ila marafiki zangu wataumia
serias kama kuna dawa naombeni ila sijazaa mwenzenu zisije zikayeyusha mayai yangu
Mi vibonge ndo gari zangu izo daah.! Ushasumbua ubongo wangu tiari,embu njoo huku chumbani maramoja dear
 
Ridhika na uupende mwili wako however fat you are. Chamsingi hakikisha unafanya mazoezi routinely (watafute wataalamu wa mazoezi ya kukata mafuta mwilini) kula vyakula jamii ya mbogamboga na matunda (punguza carbohydrates na mafuta) na uwe unafanya regular health check ups (at least kila baada ya 3 months) to make sure that you stay healthy licha ya ubonge wako. Good night!
huoni hayo ni adhabu mkuu
 
najichukia sana huu mwili wangu nimekuwa linene libayaaa
natamani kujipunguza ila sipungui ,natamani kujinyima kula ila nachoka inabidi nile japo kidogo
asubui nilikula chapati mbili na chai kidogo
mchana nikala biriani kidogo na nyama mbili
jioni nimekula nyama cha kuchemsha kama robo na kachumbari
hapa nipo nafanya mazoezi ninywe maji moto nilale
nimeuchoka huu mwili nataka kesho nikaogelee ila sina mvuto kama zamani natamani nisiende ila marafiki zangu wataumia
serias kama kuna dawa naombeni ila sijazaa mwenzenu zisije zikayeyusha mayai yangu
Kwenye profile pic ni wewe?
 
Back
Top Bottom