Ushauri Namna gani utailinda Pesa yako : Sarafu (Coin) ina nguvu kwenye ulimwengu kuliko vile unavyofikiri

Vipi na Ile pesa unaombwa na mtu wa mbali then unamtumia kwenye mwamala Haina shida? Baada ya kijifunza somo la kugawa pesa hata Mimi nimeacha kabisa... Ukiomba pesa ya chakula nakununulia chakula sikupi pesa, omba omba ukija dukani sikupi pesa Tena kama zamani, nakupa bidhaa niliyonayo inayoendana na hitaji lako
 
Yaan ile ya tuma kwenye namba hii au?
 
Wajanja hatutumii ordinary coin tunatumia digital coins baki na uchawi wako
 
Uchawi unampata anaeuamini,

Iwe sarafu au noti Mi natoa Hata sijali,

Na sjawai kua na pesa eti imepoteza kimazingara nsijue imeenda wapi.

Tatzo la wengi hawatunzi rekodi za mapato na matumizi Yao.

Mwisho WA siku wanasingizia chuma ulete.
 
Back
Top Bottom