wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
😄😄 Hio hua haikatai popote,mkombozi wa wanyonge hioHii si ya NZ-FE 🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😄😄 Hio hua haikatai popote,mkombozi wa wanyonge hioHii si ya NZ-FE 🤣🤣
Yes.. Huu mwaka wa 24 nafanya hivyo..!Unaweka Oil ya TOTAL kwenye BMW?
X3 iyo Laki 1 service ya coolant labda. 🤣🤣Bimmer X3 kwenye Toyota nahisi equivalent yake ni gari kama Rav4.. Vanguard.. Harrier..
Sidhani kama kwa 100k utatoboa service..!
BMW gani? X3?Yes.. Huu mwaka wa 24 nafanya hivyo..!
E34..!BMW gani? X3?
kama gari haina leakage yoyote inatoboa hadi service nyingine na mara nyingi inategemea na oil unayotumia kwenye gari lako zipo oil hadi 5000km ndo unabadili. Ikitokea gari lako oil inapungua ujue kuna shida kwenye gari lako mana gari lenye mfumo mzuri uwezi ongeza oil ni service hadi service
Bro iyo ni classic ata ukiweka Korie inaenda.E34..!
Hahaha kwa hiyo hizo ambazo hazina Oil Dipstick zinachagua oilBro iyo ni classic ata ukiweka Korie inaenda.
Toyota ni wifeIla we jamaa huwa unanifurahisha sana, Nadhani hii yote ni kwasababu una li-Toyota lako ambalo l
P
likipata slow pancha unaweza ukapiga misele wiki nzima kama hakijatokea kitu na kwenye Dashboard haikuoneshi, hadi usikie sauti ya rim kwenye lami
L
Pndio unajua Sasa shughuli imeisha hakuna namna tena
Boss hiyo bei kubwa kuliko uhalisia. Hata engine oil bora kabisa ya liqui moly haifiki huko.Waliweka Atlantic Mkuu
Hao ni Waturuki au Walebanon. Pamoja na huduma nzuri, bei zipo inflated sana. Sema ndiyo hivyo, wanawakamata madon kama wewe boss.Google Atlantic ipo Mikocheni Coca-cola karibu na GSM iliyoungua, halafu Rudi hapa uniambie kama ni wa mtaani, Picha linaanza nilivyoenda kwa mara ya kwanza nimekabidhi funguo reception naona mzungu ndio anakabidhiwa funguo akaishughulikie gari maana ndio ilikuwa imetua Bongo
Niliacha milion 1 na laki 2 kuchekiwa tu Kila Kitu kama Kiko sawa na vilivyo badilishwa ni oil filter na Air filter basi
Bila shaka ni yule wa karibu na HK Hospital! Yaani hawa jamaa ukienda na vitu vyako, wananuna!Next time do a lot of research about your car.
Utapunguza hata kupigwa au kuwekewa vitu vya hovyo.
Na hata ukitaka kununua kitu, fanya research.
Mpaka sasa ulitakiwa ujue recommended oil for your car. Na ujue unaipata wapi na kwa bei gani.
Wengine ni mawakala wanalazimisha kukuwekea oil mradi wao wauze.
Nilishawahi fukuzwa garage ya mtu kwa kumkatalia kuniwekea hiyo hiyo Atlantic. Nilienda na oil yangu ya Castrol na filter yeye anataka kuweka yake ya Atlantic na aniwekee filter zake tena za bei ya juu zaidi.
Gharama ingekuja almost 250k ila ningeenda kichwa kichwa ingefika almost 400k.
Bro. I do tonnes of research before i do anything serious.
BMW recommends getting your 2021 BMW X3 oil & filter changed every 3,000-5,000 miles for conventional oil. Synthetic oil commonly should be changed every 12,000 - 15,000 miles.Hiki unachosema ni vizuri ila nakubaliana na jamaa mtoa mada kwamba inawezekana hata wewe hufanyi hivyo kila siku (au niseme watu wengi hatufanyi hivyo kila siku kuhalisia). Ndio maana warning kights kwenye magari ya kisasa ji nyingi, ikiwaka unakagua.
Kama mna uzoefu ma hizi gari mshaurini tu frequency ya kufanya service, oil type etc. uzuri gari nyingi za Ilaya zikiwa na shida unapewa kila kitu kwenye dash. Binafsi naona kama kauziwa oil bei ghali sana. Na oil recommended inatakiwa kutoboa KM 5000. Ikibaki km chini ya 500 sio mbaya unaweza bado kufanya service tu kwa sababu ni rahisi kumaliza huo umbali na ukawa sehemu usiyoweza kufanya service.
Lakini pia nakubaliana kiujumla na wazo la kujenga tabia ya kukagua gari from time to time
Hili ni tatizo jingine la watu wenye Euro makes, na wasiozijua gari zao. Mafundi wengi wamezoea gari aina ya SUV zinawekewa engine oil lita 8 na kuendelea. Kwa mfano, XC90 inaingia lita 5.9. Fundi anakwambia humu inaingia lita 8 kwa kuangalia ukubwa wa engine! Kama hujui gari lako, unakubali na kuzidishiwa engine oil. Mwishowe “engine system service required” message inatokea kwenye dashboard!Hiyo ina engine ya N52B25 weka Castrol Oil 5W30 Fully synthetic, Ujazo ni Lita 6.5 na siyo lita 8.
Cha msingi ni kama walivyosema wadau humu, jitahidi ulijue gari lako. Fanya tafiti ya wapi utapata vifaa na kwa bei gani. Ingia kwenye online fora za watu wenye gari kama lako. Cheki kazi za mafundi wa sehemu mbalimbali duniani Youtube n.k. Ukilijua gari lako vyema na utakapopata vifaa bora na kwa bei halisi, huwezi kupigwa hata kidogo.Blaza pita njia yako na mm acha nipite kule nilikozoea hata kama napigwa acha niendelee kupigwa as long as haikuumizi
Labda mkuu maana Vat hujaielewa , analipa mtejaMie huwa tunashindwa hapo kwenye 18% nailipia Mimi..
Huduma 10000 Ila anakwambia nipe 11800 na Kodi jump humo. [emoji848]
Puma bado wanaleta Castrol tena zile za EU, siyo za ZA.Zimeadimika kiasi chake.
Toka vile vituo vya mafuta viachane na hizo oil na kuhamia kwenye oil zake imekuwa mtihani.
Castrol Ni oil? So Castrol yoyote unaweka kwa BMW yoyote bila kujalisha viscosity yake?🤔 Wanachofanya Castrol Ni Kama total na kampuni zingne wanatengeneza oil kwa viwango tofauti mfano 5w 30 ama 20w 30 kama total na kampuni zingne sasa ukisema Castrol ndo oil recommended Bado sijaelewaPia oil recommended kwa BMW ni Castrol hata kwenye mfuniko wameandika. Kuhusu grade hapo ndio itategemea na aina ya engine.
Usipojua kuhusu haya mambo, kwa Euro makes hakika watu watakunyoosha mpaka uwe kama namba 1 isiyo na kichwa!Mkuu Mannol zimeingia town. Jamaa wamemnyoosha kuanzia filter mpaka oil. Atlantic Lita moja 15k-20k tu.
Hebu pitia post zote nilizomquote huyo jamaa. Maswali yote uliyouliza hapa yamejibiwa.Castrol Ni oil? So Castrol yoyote unaweka kwa BMW yoyote bila kujalisha viscosity yake?🤔 Wanachofanya Castrol Ni Kama total na kampuni zingne wanatengeneza oil kwa viwango tofauti mfano 5w 30 ama 20w 30 kama total na kampuni zingne sasa ukisema Castrol ndo oil recommended Bado sijaelewa