Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo gari zimefanywa kama kitu cha ajabu sana kwa wamiliki kiasi kwamba wanapigwa sana kwenye maintanance. Hio fursa iko siku ntaitumia.Bila shaka ni yule wa karibu na HK Hospital! Yaani hawa jamaa ukienda na vitu vyako, wananuna!
Nishasema humu, kama una Euro make, inabidi ujiongeze haswa kwa suala la kuijua gari yako, nini inataka na wapi utapata vifaa na lubricants. La sivyo utageuzwa gari la mshahara!
Eeh mzee sasa unafanyeje, au mpaka dumu liandikwe castrol ndio unaamini sio oil ya FUCHS ya mapipa mmekewa kwenye dumuMwendo wa kudumbukiza tu au sio
Wamemfanya shamba darasa 😂😂😂Mkuu Mannol zimeingia town. Jamaa wamemnyoosha kuanzia filter mpaka oil. Atlantic Lita moja 15k-20k tu.
Wanakusokota kisha wanakurushia kwenye Atlantic 😂😂😂Yes ukienda saiv unaulizia hizo Oil za Castrol wanakuvuta pembeni wanaanza kukupa maelezo mengiiiii.
Ndo maana nakwambia, kuna wakati sensor ikifa au kuharibika, mfumo unachanganyikiwa au kuharibika kabisa.chances ni kuchemsha kwa kweli.
Hapo umeeleweka.Huwa namwaga oil baada ya km 3000 Ila hata kama napitiliza Hadi km 4000 haina shida Sana kwasababu oil bado inakuwa iko vizuri Tu.. kumbuka kuna watu wanaenda Hadi km 7000 Ila Mimi ambaye nimepata elimu kupitia hapa JF naishia km 4000 na hiyo ni TOTAL OIL 5W - 40 full authentic
Unaishi nchi gani?.Vitu muhimu vya kuzingatia kwa BMW.
Gari lina km ngapi?
Unalipeleka service kwa BMW authorized dealer?
Mimi X3 langu lilivyokaribia 100,000 miles, at just about 90,000 miles nililitosa nikachukua X5.
Baada ya hapo niliona litanisumbua tu.
Halafu service siku zote kwa authorized dealer.
Halafu vitu vyote by the book, kuanzia petroli mpaka oil vile vile iliyoandikwa kitabuni.
Hapo utalifurahia BMW.
Kwa bwana Jesse, ndio huyo unaesema ni Mzungu?Google Atlantic ipo Mikocheni Coca-cola karibu na GSM iliyoungua, halafu Rudi hapa uniambie kama ni wa mtaani, Picha linaanza nilivyoenda kwa mara ya kwanza nimekabidhi funguo reception naona mzungu ndio anakabidhiwa funguo akaishughulikie gari maana ndio ilikuwa imetua Bongo
Niliacha milion 1 na laki 2 kuchekiwa tu Kila Kitu kama Kiko sawa na vilivyo badilishwa ni oil filter na Air filter basi
Oil za Mjerumani ni 10kkm wanazoshauri sasa kusema oil 3k km kubadilisha. Napata ukakasi ila sio big deal. Kimfaacho mtu chake na mimi sio fundi makanika
Kwa bwana Jesse, ndio huyo unaesema ni Mzungu?
Alichomaanisha Bob sambeke ni kuwa vitu vingine ni visababishi vya tatizo haviwezi kuonekana kwenye sensa isipokuwa sensa itakuonesha baada ya kupata tatizo.Bro unajua kazi ya sensor wewe?
Unajua maana ya Fault?
Kwa hiyo tairi kupungua upepo halafu TPMS sensor ikakuambia low pressure hiyo siyo fault?
Okay. At least jamaa bei zake sio kali kama hao Atlantic na anakupigisha story kuhusu gari yako, unaondoka na uelewa sio kama hao Atlantic, wamemuongezea jamaa maswali badala ya kumpunguzia wasiwasi. Elfu 60 ilikuwa ni karibu filter 2Jesse ni Automax na ni mchina mbongo...
Nimeambiwa Jesse yupo Automax, ni mmiliki wa gereji nafikiri na technician wa kusoma diagnosis ya gari.Mm simjui Jesse, position yake ni gani hapo Garage?
Wanakaza kichwa? Inaeza kuwa hata kamba au liwaya flani , au li tawi la mti Niko chini ya gari sometime hata chatu anaweza fika kwenye Bonet kufata joto la engine! Je hapo dash itaonesha hivo vitu? Ukute kamba imejizungusha kwenye otoneta dash itaonesha? Au mpaka tatizo litokeeAlichomaanisha Bob sambeke ni kuwa vitu vingine ni visababishi vya tatizo haviwezi kuonekana kwenye sensa isipokuwa sensa itakuonesha baada ya kupata tatizo.
Mfano kuna msumari upo karibu na tairi, ukifanya ukaguzi kabla utaweza kuutoa na sio kusubiri uukanyage tairi litoboke ili upewe taarifa kwenye dashboard.
Ni swala la muda tu, I hope mjerumani atafanya improvement kwenye Sensor kutambua hatari zijazo kabla hazijatokeaAlichomaanisha Bob sambeke ni kuwa vitu vingine ni visababishi vya tatizo haviwezi kuonekana kwenye sensa isipokuwa sensa itakuonesha baada ya kupata tatizo.
Mfano kuna msumari upo karibu na tairi, ukifanya ukaguzi kabla utaweza kuutoa na sio kusubiri uukanyage tairi litoboke ili upewe taarifa kwenye dashboard.