Meneja CoLtd
Senior Member
- Mar 6, 2021
- 140
- 178
Habari zenu! Mimi ni muislamu nataka kuoa binti Mkristo Mzaliwa wa Huko Gairo, Naomba nisaidiwe taratibu za huko za kuandika barua ya posa zipoje? mana nataka niende Wiki hii.
Nimeambiwa niende wamjue nan anatak kuoa bint yaohutakiwi kwenda wewe tuma wazee wenye busara
hio ni trick tuma kwanza wazee utakuja kujishukuru badaeNimeambiwa niende wamjue nan anatak kuoa bint yao
Anaingizwa kingi akapasuke vibunda, wakaguru ndio zaohio ni trick tuma kwanza wazee utakuja kujishukuru badae
Alijichanganya kaishaAnaingizwa kingi akapasuke vibunda, wakaguru ndio zao
Eti siku ya kwanza upeleke mbupu ukweni 😂 wakakutambueAlijichanganya kaisha
anafikiria anaitiwa kitu kizuri sana kumbe anaelekezewa kibilaAnaingizwa kingi akapasuke vibunda, wakaguru ndio zao
😂 Labda anafikiria wanaenda mkagua kama ana umbile na sura ya kumvutia binti yaoanafikiria anaitiwa kitu kizuri sana kumbe anaelekezewa kibila
Hh Kwamba wanaweza nibananishahio ni trick tuma kwanza wazee utakuja kujishukuru badae
Tuliza kishundu nyumbani , tuma kama laki 2 kwa binti mwambie awape wazazi kama pesa ya maandalizi ya ugeni , halafu wewe panga siku umjulishe binti .Nimeambiwa niende wamjue nan anatak kuoa bint yao
Hamna Nipo serious ntk kuoa ila kwanza sijajua taratibu Za wanagairo naniwakristo, wangekua waislamu nisingesumbukaMleta mada ni mgomvi
Vibunda kivipi mkuu? Mm napeleka barua tu. Hiyo process yenyew inameza kama 200k nawao watak Tena vibundaAnaingizwa kingi akapasuke vibunda, wakaguru ndio zao
Kwa wakristo lazima ujipange vilivyo hasa kifedha , kama ndio familia zetu zile hawacheki na yeyote linapokuja swala la kutoboka kifedha kwenye hizo mamboHamna Nipo serious ntk kuoa ila kwanza sijajua taratibu Za wanagairo naniwakristo, wangekua waislamu nisingesumbuka
Oya nipe kodi nisavaivu nduguAlijichanganya kaisha
Tia hela watoto wa mujini wanaita sasampa Cc Fake POya nipe kodi nisavaivu ndugu
Mbupu ndonini hiyo, nipe possible cku znyew zmebaki chacheEti siku ya kwanza upeleke mbupu ukweni 😂 wakakutambue
200k niya maandaliza ya vyakula na vinywaji kwa ajili ya utambulisho , kwa hiyo unaenda jitambulisha ule chakula Cha baba mkwe? Wewe vipi bwasheeVibunda kivipi mkuu? Mm napeleka barua tu. Hiyo process yenyew inameza kama 200k nawao watak Tena vibunda