Ushauri: Namna ya kuposa Binti Mkristo Mimi Muislamu

Ushauri: Namna ya kuposa Binti Mkristo Mimi Muislamu

Mwislam kwenda kuoa mkristo haikubaliki, labda uende katoliki huko wanakubali mseto wa dini ila ndoa utafungia kanisani na watoto watakuwa wakatoliki. Pentekoste usijaribu huko hutakubaliwa labda ubadili dini uwe mpentekoste hasa bila chengachenga. Vinginevyo unaweza kujipatia mke upande huo kama binti ataamua yeye mwenyewe kubadili dini na kukubali umue, hiyo ipo
Hilo lisha be cleared
 
Mm naomba ushauri tu, hela sio ishu ntk nijue taratibu zao mana kama ishu ni hela ningekuja kuomba msaada wa hela huku
Nimekupa mwanga tayari ,usipeleke bichwa lako, wewe tuma watu wenye busara na uandae mazingira ya chakula huko kwa binti na wazee wanywe mpaka wa tosheke
 
Sema Mungu hajanijalia watoto wa kike,ila kwangu Mimi kumuozesha mtoto wangu kwa hawa majogoo wa alifajili ni Bora mara 1000 akaolewa na mpagani.

Kwani huko msikitini umekosa majogoo wenzio.!? Kama ndo zile ndoto zenu za mwanamume wa kiislamu ni halali kumuoa mwanamke kristo ila kinyume chake ni haramu unajidanganya.

Ukitaka ndoa salama oa mvaa kobazi mwenzio
 
Kwamba ukiwa mwislamu ukaoa mkristo haitapita?

Hata nasa mimba?
mpagani kuoa binti wa kipentekoste hatakubaliwa, labda mpagani awe mpentekoste ndio atakubaliwa. Hata saikolojia za ndoa zinatataka muoane mkiwa na imani moja ndio mtaendana vema. Kuhusu kunasa mimba, mimba kunasa haina dini wala kabila
 
Ukimaanisha walokole au?
 
Mkuu haina haja ya kuumiza ndonga. Wakaguru hawako strict kivile.
Kwakuwa JF ina watu wengi, utampata member mkagulu atakupa desa upite mulemule!

NB; Ukimuoa huyo manzi siku akikutambulisha kwa binamu yake, muangalie kimachale make kwao ni kawaida sana "kumung'unyuana" kinyama cha hamu na uzuri kwakweli siyo "wachoyo" kabisa kwenye ile sekta!
 
Nimekupa mwanga tayari ,usipeleke bichwa lako, wewe tuma watu wenye busara na uandae mazingira ya chakula huko kwa binti na wazee wanywe mpaka wa tosheke
Sawa mkuu mm hy cku ikifika nitahakikisha mpaka mama pima anazima. Yaani ukoo mzm unazima, Ile kunywa bia mpitanjia
 
Back
Top Bottom