Ushauri: Namna ya kuposa Binti Mkristo Mimi Muislamu

Una akili kama redio ya mbao🙏
 
Tuliza kishundu nyumbani , tuma kama laki 2 kwa binti mwambie awape wazazi kama pesa ya maandalizi ya ugeni , halafu wewe panga siku umjulishe binti .

Then tuma watu wazima wenye busara , uwape kama laki 2 ya nauli na emergency ........
Bint anakaa dar, n mama yk bnt naongea nae sana nayy nd kasisitza mm niende wanifahamu nani anaoa. Km wanalengo lengin cjui
 
Bint anakaa dar, n mama yk bnt naongea nae sana nayy nd kasisitza mm niende wanifahamu nani anaoa. Km wanalengo lengin cjui
Kwamba unaongea na mama wabinti ?basi panda gari nenda gairo , haizidi 25 elfu
 
Aya nenda katuolee sisi bodaboda maana unaonekana akil hauna, na Mungu kasema tuishi nao kwa akil
 
200k niya maandaliza ya vyakula na vinywaji kwa ajili ya utambulisho , kwa hiyo unaenda jitambulisha ule chakula Cha baba mkwe? Wewe vipi bwashee
inabidi nijipange jpo cjaambiwa hivo, namm napeleka barua ya posa nakama wangetak hivoo wangenambia
 
inabidi nijipange jpo cjaambiwa hivo, namm napeleka barua ya posa nakama wangetak hivoo wangenambia
Kijana Mimi ningekua kwenye kamati ya wazee huko gairo , siku unakuja ungekula bakora
 
‎Habari zenu! Mimi ni muislamu nataka kuoa binti Mkristo Mzaliwa wa Huko Gairo, Naomba nisaidiwe taratibu za huko za kuandika barua ya posa zipoje? mana nataka niende Wiki hii.
Ni rahisi kwanza badili dini uwe mkristo,then tuma mshenga apeleke posa na usubiri majibu
 
Mwislam kwenda kuoa mkristo haikubaliki, labda uende katoliki huko wanakubali mseto wa dini ila ndoa utafungia kanisani na watoto watakuwa wakatoliki. Pentekoste usijaribu huko hutakubaliwa labda ubadili dini uwe mpentekoste hasa bila chengachenga. Vinginevyo unaweza kujipatia mke upande huo kama binti ataamua yeye mwenyewe kubadili dini na kukubali umuoe, hiyo ipo
 
Kwamba ukiwa mwislamu ukaoa mkristo haitapita?

Hata nasa mimba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…