Ushauri: Nampenda lakini sijui niendelee kumtongoza au niache

Hiv dem akikujibu ' ninamtu wangu '

Kikanuni za kibaharia, unatakiwa ufanyaje. Udelete namb ama uwe msumbufu tu

Binafsi huwa nadelete namba. Nasonga mbelee
Unakomaa hvyo hvyo, kuna wengine huwa wanakupima msimamo na usiriaz wako.
 
me nipo hapa nyamalango so kama upo hapo chuo njoo nikupe maushauri chap kuandika nimechoka naona uvivu nimetoka kwenye test. .
 
Wakati nipo chuo, niliamua kuishi a hardcore life, sikuwa na shobo na manzi yoyote hata kama alikuwa kanizoea vipi, na hii ilifanya niishi Kwa Amani Sana. Take care of your movements, usije shindwa kuingia darasani bure
 
rekebisha kwanza matamshi wenda ikawa anakukataa kwasababu ya kuchanganya herufi kwenye L unaweka R na R unaweka L kama kuelewa we unaandika kuerew tena himalizii

ni hayo kingine kama unampenda komaa nae mwanaume hakati tamaa
 
Sio Kila msichana anayekuwa karibu na mwanaume anataka mahusiano mwingine labda anaona Kuna kitu kizuri toka kwako. Labda ni mshauri mzuri, au unaweza msaidia Mambo ya masomo n.k

Tatizo wanaume tunapenda kuchulia ukaribu ni nafasi ya kuanzisha mahusiano, haiko hivyo.

Cha muhimu muelewe msichana na uishi naye alivyo.
 
Nisikize kwa umakini sana
1. Either huyu dada ana gonjwa moja sugu sana ana crush na wewe ila sasa pengine anahofia atakuambukiza kitu ambacho anagopa baadae atafeel guilty.

2. She is playing hard to get, we women are like that sometimes....we just like those games it's kinda fun. So whatever you trying to do...you got play it safe...bado unasoma and your family needs you

3. Basi tu maybe just maybe she is just another bitch who doesn't know what exactly she wants[emoji2368]

4. Maybe bado hajajua kama anakupenda ama la so anasikilizia hisia zake zinampeleka wapi anausikiliza moyo wake kwanza...akishahisi anakupenda we mwenyewe utaona ataanza ku respond vizuri hata sms zako on time.

5. Be careful Mkuu....

Sent from my SM-S9 using JamiiForums mobile app
 
Mie nimesoma hio heading tuu .. mzee aitha tumia pesa au tongoza kwa show ya jushtukiza ... wana masikio matatu hawa. Kama yale mawili hayasikii jaribu la tatu!
 
Pumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…