Millitarydoctor
Senior Member
- Sep 20, 2019
- 174
- 127
fafanua mkuu haya maelezo yako.Pore kwa kukatariwa ila kwa maerezo yako itakua unasoma kozi ya sayamsi na una akiri sana dalasani ndo maana demu anakuogopa
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
fafanua mkuu haya maelezo yako.Pore kwa kukatariwa ila kwa maerezo yako itakua unasoma kozi ya sayamsi na una akiri sana dalasani ndo maana demu anakuogopa
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣🤣Ebu kuwa mkwel basi mkuu ili tuweze kukusaidia, Umesema ww ni mwanachuo au ni unakaa karibu na chuo au mlinzi chuoni?
Sent using Jamii Forums mobile app
Dear maana yake ni nini?Sory dad n mawazo tu ndo yanasababisha niandike ovyo kama hiv
Wewe endeRea tu mkuu maana sie pia hata hatueRewi.
Hii ni kashfa kwa SAUT kwakweri kwa kumiriki mwanafunzi wa hivi![emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwanafuzi wa SAUT kama SAUT.[emoji23]
Eti "nikaenderea"
Simwerew [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwanafuzi wa SAUT kama SAUT.[emoji23]
Eti "nikaenderea"
"Vizirii" ndo kuku wa aina gani huyo!Jaman nisamehen naomba niandike vizirii
Niamini mimi hamna mwanachuo hapo.kila nikisoma naona elimu yawanachuo hewa kabisa kama huyu
Eti nae anafundisha wengne
Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo soma kitaa pagumu hukuHabari zenu jamani kwanza niwape pongezi kwa ushauri wenu unatusaidia sana
Mimi ni Mwanachuo wa SAUTI ninaomba ushauri, wakati nafika Chuo Mwaka wa Kwanza kwenye orientation nilikutana na mdada mmoja alikuwa haelewi kinachoendelea kwenye orientation sa kwa huruma yangu nikaona nimsaidie kumwelekeza tumefikia wapi sikuwa na lengo baya.
Sasa nilivomaliza kumsaidia basi nikaendelea kusikiliza orientation na sikuwa na mpango na huyo dada lakini cha ajabu mara baada ya kumsaidia yule Dada akaanza kuniuliza uliza maswali sasa mimi nikaona sio mbaya kumjibu, basi tukapga piga story bas lakini sikuwa na mpango na uyo dada basi orientation ilivoisha nikaondoka zangu na hata sikumwomba hata namba kwasababu nilikuwa siamini kama nikimtongoza atakubali na tukapotezana na maish yakasonga.
Lakini baada ya wiki kama mbili ivi nikiw nasoma soma yule Dada alinifata nikapiga naye story ila kwakuwa nilikuwa sina imani na wanawake basi sikumwomba hata namba na tulivoagana basi kila MTU akaendelea na mishe. Sas baada ya kama wiki moja yule mdada alinitafuta tena na tukaongea kidog bas ila kumbe yule Dada tulikuwa tunasoma nae coz moja nilikuja kujua baadaye.
Lakini sikuwa na mpango naye ila tukiwa darasani nilikuwa namchek kisirisiri nikagundua kwamba alikuwa ananiangalia kisirisiri sana na akigundua kwamba namwangalia basi alikuwa kama anashtuka na kuamgalia pembeni basi nikawi simwelewi kabisa ila nikakaza moyo nikaenderea na maisha japo nilikuw nampenda penda na mimi lakin nikaw najikaz kwasababu naogopa kupenda sas iyo tabia ya mdada kuniangalia angali a kisiri siri ikawa inaenderea basi ila hatukuw na urafiki wowote na sikuwai kumsemesha.
Ila nilikuwa nampend lakini najikaza kwasababu nilikuwa naogopa kumtongoza mana nazani kama ningemtongoza basi ningezidi kumpenda zaidi sasa baada ya miezi miwili nikiwa nimetulia zangu sina hili wala lile gafla yule mdada alinifata nakunisalimia tena sasa nikapiga piga nae story lakini kabla ajaondoka akanambia atanitafuta so kwavile kauli nikaona sio mbaya nimwombe namba nilivomwomba namba akanipa ila tatizo la yule mdada alikuw hajib SMS kwa wakati.
So nilivyoona hivo ikabid nifute namba na nisimtafute lakini kila nikiwa chuo yule Dada akiniona basi nilazima aje kunisalimia so kiukweli kutokana na iyo situation nikajikuta naanza kumpend sana na nikijitaidi kumkwepa aipite wiki lazima anichek kunipa salam Mara ananambia nimfundishe so mimi kiukweli nikawa simwelewi kabisa uyo dem na kila nikijitaidi kumkwepa lazima atanitafuta tu basi ndo na mm nikajikuta nazid kumpend sana kutokana na yeye kuzid kunitafuta tafut na kunisalimia.
Sasa nikaona hapa hamna jinsi inabid likizo nimtongoze labda n Banat yangu sas wakat nipo likizo hii ya corona ndo nikamtafuta na kumtongoza laikn demu kachomoa kabisa lakin nikichat nae haachi kuniita DEAR so nashindwa kuerew kabisa na ndo nimejikuta nampenda sana jaman ila kwa sababu alikataa nikaona na mim nikaushe sas imepita wiki mbili cjamchek na wala yey hajanichek.
Lakini naumia sana sas NAOMBEN USHAURI IV KUTOKANA NA IYO SITUATION JE NIENDEREE KUMTONGOZA AU NIKAUSHIE MANA SIEREW CJUI ANANIPIMA IMANI AU NDO KANIKATAA JAMAN NAOMBEN USHAUR NATESEKA SANA
siku izi umenichukia ,what happenHebu andika vizuri nione
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Huu ni uandishi wa mwanachuo,hakuna nukta mwanzo hadi mwisho....