Ushauri: Nampenda lakini sijui niendelee kumtongoza au niache

Ushauri: Nampenda lakini sijui niendelee kumtongoza au niache

Kuku kwiyoyo, 😂😂😂 nacheka kama mazuri vile,,, picha huoni pia? Anakulia time tu uyo... hivi zile enzi za demu kukataa mjamaa anatia ngwala demu chini zimeisha?😁
 
SAUTI ni chuo kipya?......Achana nae hapo unaliwa timing upigwe kibomu cha maana
 
Nimeupenda mwandiko wako BURAZA, sasa anavyokuangalia kisirisiri na wewe fanya kumtongoza kisirisiri hapo mtapatana haraka. Over
 
ACHANA NA HAO KUNGURU BOX WANAOPONDA MWANDIKO WENGI NI BENDERA FATA UPEPO WENGINE STRESS TU ZINAWASUMBUA

KUHUSU MADA YAKO HUYO DEMU AKISHAKUWEKA FRIEND ZONE HII GAME ITAKUWA NGUMU KIDOGO ..BALANCE SHOBO KWANZA HIO NDO HATUA YA KWANZA
 
Don't rush... Mambo mazuri hayataki haraka.
Ungejitambulisha kuwa wewe ni mkulya ili tuelewe mwandiko
 
Don't rush... Mambo mazuri hayataki haraka.
Ungejitambulisha kuwa wewe ni mkulya ili tuelewe mwandiko
 
Huu ni uandishi wa mwanachuo,hakuna nukta mwanzo hadi mwisho....
Hawa ndio wasomi wetu wanaoandika kama bata kaharisha, yaaaani rrrrrrrrrrrrrr kwenye llllllllllll
 
Achana na haya maswala.Inaonekana wewe bado hujapevuka kiakili.
Sema nimekuonea huruma sana kaka.
 
Back
Top Bottom