Habari zenu jaman..kwanza niwapongeze sana kwa kujitoa kwa ushaur..unatusaidia sana...
Mimi ni mwanafunzi wa chuo cha sauti...wakati nipo chuo kwenye kipind cha orientation (nikimaanisha kipindi cha kukaribishwa na kupew maerekezo ya chuo kwa sis watu wa mwaka wa kwanz..).
Kuna mdada mmoja alikuja kacherewa na alikaa karibu yangu..
Sasa mm sikuw na mpango nae kwasababu simfaham...ila nilipomchunguza nikaona anaangaika anataka kuuliza tulipofikia kwenye maerekezo ya orientation..,,sasa mm kwa huruma nikaona sio mbay
kumwerekeza tulipofikia,, sas nilivomuerekeza basi nikamwacha,,sasa yule Dada baada ya kumsaidia akaanz kuniuliza uliza maswalii mengi nikaona sina budi kumjibu,,, lakin akilin mwangu sikuwa na mpango hata wa kumwomba namba kwasababu nilikuw naamin kwa uzuri alikuw nao n lazima atakuw na MTU wake,,,basi tukaenderea kupga stori za hapa na pale basi,, kipindi kilipoisha nikaondoka zang ,,,,,baada ya wiki kama mbili ivi nikiw nimeshamsahau alinifata nikiw najisomea somea ....akanisemesha tukapiga piga story na badae nikaondoka zang ila kiukwel nilikuw nampend ila sikutak mazoea nae sana ....kwasababu nilikuw naona kama nitazid kuzoeana nae nitazid kumpnd kwaio nikaw namkwepa kwepa .....ila yeye akaw kama anataka mazoea..... so basi Siku zikasonga... then baada ya wiki moja badae yule Dada alinitafuta tena kipind hicho nilikuw nimejituliza zang .....basi tukapiga piga story na badae aliniuliza coz ninayosomea.... nikjib kumbe na yeye alikuw anasoma hyo hyo coz... ila kiukwel nilikuw nampend lakin nikaw najikaz sana na baada ya mazungumzo nikasepa zangu na wala sikumwomba namba .....
bas Siku zikaw zainazid kwend na sikuw na ukaribu nae wowote..... ila kila nilipokuw darasan nikagundua kwamb yule mdada alikuw ananiangalia kisiri siri na kila nilipomwangalia alikuw anashtuka na anaangalia pembeni ....sas hyo Tabia ya kuniangalia angalia ilikuw Mara kwa Mara.... lakin mm nikaw napotezea tu na ninajikaz nataman kumsemesh ila nashindw ...kwasababu niliona kama nikimsemesha na nikiw karibu nae ndo nitazid kumpend zaid kwaio kiukwel sikuwai hat kumsemesha na yeye pia hakuwai kunisemesha na kifupi hatukuw na urafik wowote ...japo mm nilikuw namchunguz chunguza naon kabisa kwamb ananiangalia angalia kisir siri ....
so ikabid nipotezee kwasababu najua mazara ya kupend so maish yakasong ....sasa baada ya miez miwil badae nikiw nimeshaanza kumsahau sahau yule dada ....nilikuw nimekaa uwanjan napunga upepo Mara nikashanga kuna MTU ananisemesha na kuangalia kumbe ni yule Dada so nilishtuka maana sikutegemea kama ipo siku atanisemesha maan n mda sijawai kuongea nae
so kiukwel nilifurah na ukizingatia nilikuw nampenda so tukapiga story na badae alipotak kuondoka aliniuliza jina langu na pia akaniambia atanitafuta ...sas kama unavojua sisi wanaume tunavojiongeza ...nikaona sio mbay ninwombe namb..
. so yule dem akanipa namb yake lakin kila nilipokuw nikimtafuta alikuw anacherew sana kujibu SMS Mara nying sana...
ah nikaona wacha nidelet namb mana tazid kumpend so nilivodelet namb na pia nikaach hat kumtafuta na maish yakaenderea na pia nikaw Nazid kumkwep kwepa ili nimsahau mana nilikuw najikuta nikimpend... nikaona njia nzur ya kumsahau n kumkwepa ndo ikaw ivo...
sas badae alivoona simtafuti akaw akiniona chuo ananifat na kunisalimia Mara kwa Mara na pia ananiomba nimfna dishe...
sas mm nikaw Nazid kumpend kutokana na yey kunitafuta Mara kwa mara...na nikaona nienderee kumkimbia maana naona nazid kumpenda na yeye hakuchoka kunisalima kila alipo niona....
so kutokana na iyo situation nikaamua nifanye maamuzi magumu ya kumtongoza ....nnikaona nivizur nimtongoze akiw likizo so hii likizo ya corona nikamtongoza.... cha ajabu yule Dada alinikataa na kusem anamtu wake.... so kiukwel nisiwafiche niliumia sana sana na ukizingatia mm sikuw na mpango wa kumtongoz ila yeye ndie aliesababish nimtongoze
so bas nikaamua nitulie ila kipind flan nilikuw nikimchek alikuw ananiita DEAR SO hapo ndo nikazid kuchanganyikiw ....lakin nikaw sierew sas cjui ananipend au
nikaona wacha nimpotezee ni wiki ya tatu hii cjawai kumtafuta na yeye pia hajawai kunichek.... lakin nampend sana na naona Nazid kuchanganyikiw kabisaa....haha so mm naomba mnishaur je nienderee kumtongoza labda ananipima iman au jaman naombeni ushaur mapenz YANATESA AASIKWAMBIE MTU