Ushauri naomba!

Ushauri naomba!

John kirua

Senior Member
Joined
Dec 7, 2021
Posts
140
Reaction score
107
Hiv ni kwanini mwanamke umehamua kuishi nae wote mnafanya kazi

Lakini anakutegemea kila kitu ndani basi nimenunua mwanaume kila kitu ndani bado ni mtihani hata kama sabuni imeisha anaitaji utoe ela yako wakati vitu vidogo kama ivyo anauwezo wa kufanya

Unamuliza ela zake anapeleka wapi anajibu anapeleka kwenye vikoba na michezo kwahiyo hana ela
Kuna faida gani ya kuwa na mwanamke amabaye hana faida ndani ya nyuma wakati maisha ni kusupport na wote mnafanya kazi

Inaumiza kichwa sanaa na inafikilisha 7bu hata basi vitu vimetununuliwa ndani issue ya kubajet hawezi najua pesa mwanaume ipo always

Aisee sio poaw ambao mpo kwenye mahusiano au ndoa mnawezaje situation hii...
 
Sasa mazee unakuja kutulalamikia sisi tutakusaidiaje? Uamuzi ni wako. Kwani umelazimishwa kuishi naye? Kama vipi mwambie kila mtu awe ana-contribute kiasi fulani kwenye matumizi yenu kila mwezi au kama hataki basi aondoke. Au hili nalo mpaka ufundishwe?
Hapana ndg sio kama na lalamika but nimekuelewa wazo zuri Asantee
 
Hiv ni kwanini mwanamke umehamua kuishi nae wote mnafanya kazi

Lakini anakutegemea kila kitu ndani basi nimenunua mwanaume kila kitu ndani bado ni mtihani hata kama sabuni imeisha anaitaji utoe ela yako wakati vitu vidogo kama ivyo anauwezo wa kufanya
Umeamua - Kiswahili.✅
Umehamua - kindengereko.❌

Mkuu kama ulioa mwanamke ili msaidiane maisha basi UMECHEMKA.

Na unaonekana unamuogopa mkeo hivyo huwezi kumbadilisha, Hujiamini.

Be a Man, kuwa responsible na matokeo ya maamuzi yako.

Mtu isipomfaa akili yake, utamdhuru Ujinga wake.
 
Sijaoa alafu sipendi kabisa kushauri ndoa. Ila unaonekana una frustration sasa fanya hivi.

Badala ya kulaumu mke ukidhani ana uelewa na modern life, kwanini usimchukue mkakaa sehemu tulivu mkapanga mipango yenu.
Wewe kama kichwa cha familia ukampa malengo yako na matarajio ya wapi mfikie hapo baadae. Ukampa umuhimu wa savings, matumizi mazuri na sio kufuja mali, cost sharing, matumizi ya lazima, matumizi yanayoonekana (mfano umesema ana michezo na vikoba, si kuna muda vinavunjwa sasa huo mshahara anaotumbukiza uko akiupokea kikoba anafanyia nini?).

Katika mazungumzo hayo ni ama utakuta anagoma kukupa hela kwa sababu anajua au anadhania unahonga, kuna wanawake nasikia huwa wanalazimisha matumizi makubwa wakiwa na mentality "nisipozitumia si atazitumia kwenye umalaya".

Au unaweza kuta umeoa familia ya kimaskini, uchoyo na ubinafsi hana uzoefu na sharing. Hayo yote unaweza yabadilisha badala ya kulalamika na kuwa reactive pale unapoona hajanunua sabuni. Akiwa mgumu kubadilika na hamna watoto achana naye atakuchelewesha.
 
Maoni mengi ya wadau humu mwishoni yanasema"achana naye" hvi hichi kizazi cha sasa kuna kuzeeka mkiwa kwenye ndoa...Mmh nisiongee sana maana na mimi sijayamaliza...ushauri mwambie ukweli kiustaarafu kongoroa tabia zote alizokuja nazo kutoka kwao weka unazoona zitakufaa...ukiona vikoba havisaidi mkataze kuhusu swala la kuchangia matumizi hakikisha kila pesa inayoingia unaijua na kuikamata na kuipangia wewe..usimruhusu akamiliki pesa..angalizo hakikisha huduma zote anazipata.
 
[/QUOTE ushari mzuri sana nimekuelewa 🙏🙏
 
Mkuu pole sana,kwanza kabisa nikubaliqne na mdau hapa juu kuwa wewe "unamuogopa mke wako" hilo liko wazi...Sasa basi kitu cha kwanza kabisa ambacho unapaswa kukijua ni hiki km mke wako anafanya kazi na umemuoa ni LAZIMA muingie makubaliano ya kushare cost..ikiwa hatokubaloana na wewe basi atalazimika either kuacha kazi au kukuacha wewe....Sina mengine mkuu.
 
Sijaoa alafu sipendi kabisa kushauri ndoa. Ila unaonekana una frustration sasa fanya hivi.

Badala ya kulaumu mke ukidhani ana uelewa na modern life, kwanini usimchukue mkakaa sehemu tulivu mkapanga mipango yenu.
Wewe kama kichwa cha familia ukampa malengo yako na matarajio ya wapi mfikie hapo baadae. Ukampa umuhimu wa savings, matumizi mazuri na sio kufuja mali, cost sharing, matumizi ya lazima, matumizi yanayoonekana (mfano umesema ana michezo na vikoba, si kuna muda vinavunjwa sasa huo mshahara anaotumbukiza uko akiupokea kikoba anafanyia nini?).

Katika mazungumzo hayo ni ama utakuta anagoma kukupa hela kwa sababu anajua au anadhania unahonga, kuna wanawake nasikia huwa wanalazimisha matumizi makubwa wakiwa na mentality "nisipozitumia si atazitumia kwenye umalaya".

Au unaweza kuta umeoa familia ya kimaskini, uchoyo na ubinafsi hana uzoefu na sharing. Hayo yote unaweza yabadilisha badala ya kulalamika na kuwa reactive pale unapoona hajanunua sabuni. Akiwa mgumu kubadilika na hamna watoto achana naye atakuchelewesha.
Asantee 🙏🙏
 
Mkuu pole sana,kwanza kabisa nikubaliqne na mdau hapa juu kuwa wewe "unamuogopa mke wako" hilo liko wazi...Sasa basi kitu cha kwanza kabisa ambacho unapaswa kukijua ni hiki km mke wako anafanya kazi na umemuoa ni LAZIMA muingie makubaliano ya kushare cost..ikiwa hatokubaloana na wewe basi atalazimika either kuacha kazi au kukuacha wewe....Sina mengine mkuu.
Si muogopi aisee maana na maamuzi ya wazi sana
 
Back
Top Bottom