John kirua
Senior Member
- Dec 7, 2021
- 140
- 107
- Thread starter
- #21
Kinachofanya umeona ni muogope ni kitu gani? Siogopi kupotezaUmeamua - Kiswahili.✅
Umehamua - kindengereko.❌
Mkuu kama ulioa mwanamke ili msaidiane maisha basi UMECHEMKA.
Na unaonekana unamuogopa mkeo hivyo huwezi kumbadilisha, Hujiamini.
Be a Man, kuwa responsible na matokeo ya maamuzi yako.
Mtu isipomfaa akili yake, utamdhuru Ujinga wake.