Ushauri naomba!

Ushauri naomba!

Umeamua - Kiswahili.✅
Umehamua - kindengereko.❌

Mkuu kama ulioa mwanamke ili msaidiane maisha basi UMECHEMKA.

Na unaonekana unamuogopa mkeo hivyo huwezi kumbadilisha, Hujiamini.

Be a Man, kuwa responsible na matokeo ya maamuzi yako.

Mtu isipomfaa akili yake, utamdhuru Ujinga wake.
Kinachofanya umeona ni muogope ni kitu gani? Siogopi kupoteza
 
Back
Top Bottom