Ushauri: Napata uzito ku-move on, niongezeeni mbinu

Kama hutak awe anakutumia msg mwambie upo kwenye mahusiano mengine na izo msg anazokutumia zinamtia was was na kumkwaza mtu wako hivyo ache kutuma msg asijekuharib mahusiano yako kuacha kwake kutuma msg kutakupelekea ww kumove on kwa urahic kbs ikishindikan ivo nipe no zake nimpe mkwala kuwa aache kbs kukusumbua mke wng 😀
 
Kuwa muislam

Kuwa muislam haimaniishi mtu hafanyadhambi ndio maana Kuna makosa kuna kutubia pia na na hakuna dini iliyohararisha zinaa ila sie wote vijana makosa hayakosekani
Kwa sababu ya sisi kufanya madhambi huwa tunapewa mitihani hiyo kwa lengo la kutuzindua na kujua wapi tumekosea. Ndiyo maana nikasema unatakiwa urekebishe ulipokosea sababu sisi ni wakosefu. Kisha ufanye zuri au mazuri.
 
Kama hutak awe anakutumia msg mwambie upo kwenye mahusiano mengine na izo msg anazokutumia zinamtia was was na kumkwaza mtu wako hivyo ache kutuma msg asijekuharib mahusiano yako kuacha kwake kutuma msg kutakupelekea ww kumove on kwa urahic kbs ikishindikan ivo nipe no zake nimpe mkwala kuwa aache kbs kukusumbua mke wng 😀
🤣🤣🤣🤣Hapo mwisho nimependa sana
 
Kwanza nguvu inatoka wapi wa kumrudia x Yan unaanzaje kwanza 😂
Yani kuna watu ni majasiri sana!
Huyo anajua unampenda sana na usipojisimamia atakuchanganya mpaka basi!!

Wewe hataki kukuacha ukute nahuyo mwingine nae hataki muachia ni anawavurugaaa huo uislam kisingizio tu!
Ifike wakati ujisimamie mamy tafuta marafiki wa kukuweka bize go out with them kua bize na shughuli zakooo usipate muda mwingi wa kuwa iddle
Kwa kipindi hiki usifanye maamuzi ya haraka jwani akili sio yako Saivi.. take time relaxxxx kwanza hizo stress zako ziishe kabisa utakua kawaida na akili itatulia...... saivi usitafute mwingine kwa lengo lankujipoza unaeza usifanye maamuzi sahihi bali hasira na stress ndio zinakuongoza.

Narudi....🚶🏼‍♀️
 
Yani kuna watu ni majasiri sana!
Huyo anajua unampenda sana na usipojisimamia atakuchanganya mpaka basi!!

Wewe hataki kukuacha ukute nahuyo mwingine nae hataki muachia ni anawavuruga tu huo uislam kisingizio tu!
Ifike wakati ujisimamie mamy tafuta marafiki wa kukuweka bize go out with them kua bize na shughuli zakooo usipate muda mwingi wa kuwa iddle
Kwa kipindi hiki usifanye maamuzi ya haraka jwani akili sio yako Saivi.. take time relaxxxx kwanza hizo stress zako ziishe kabisa utakua kawaida na akili itatulia...... saivi usitafute mwingine kwa lengo lankujipoza unaeza usifanye maamuzi sahihi bali hasira na stress ndio zinakuongoza.

Narudi....🚶🏼‍♀️
Thanks ndugu nafikir yataisha nimeamua na nimedhamiria hiz situation za kunitafuta Tafuta ndo zinanirudisha nyuma nafikir yatapita tu maisha yataendelea
 
Back
Top Bottom