Ushauri: Napata uzito ku-move on, niongezeeni mbinu

Ushauri: Napata uzito ku-move on, niongezeeni mbinu

Pole sana bi mkubwa hiyo hali ni ya kawaida sana na mimi sitakupa ushauri wa moja kwa moja ila ntazungumzia vitu vichache nilivyo note na hasa kutokana na screenshot:
1: from the beginning ni wazi kuwa mnapendana sana...we unampenda na yeye anakupenda ndio maana kila mmoja ni kama hayuko tayari kumpotezea mwenzie...
2: ikiwa ndugu zake na yeye mwenyewe still wanakufatilia basi hata wao wanapenda wewe uendelee kuwa karibu na ndugu yao....(hapa sasa kuna reason ambayo wanaijua wao but probably inaweza kuwa financial services maana naona hata screenshot zako ni kama wewe ni financial supporter wao)
3: kama mwanaume anakupenda lakini akaamua kuoa kwa sababu ya umbali and still anakutafuta na haogopi kukutafuta kuliko kumkwaza mke wake mpya.....there is something strange here ...pengine hampendi kama anavyokupenda wewe, pengine alikuwa forced na ndugu, marafiki au jamaa kuwa na huyo mwanamke etc lakini hapa unayeutesa moyo ni WEWE tu wala sio yeye.
Utafanya nini sasa:
Wote ni waislamu (screenshot zinasema) na waislamu kuoa hakuna ukomo mkalishe chini mwambie akuoe uwe mke halali ikiwa uko tayari na yeye atakuwa huru zaidi lakini utakuwa umeuponya moyo wako na nafsi yako itafurahi maana huwezi kubisha unampenda sana kwa nini uishi kwa stress wakati kupendacho moyo kipo
Naogopa hata kama utaingia kwenye mahusiano mapya hutadumu kwa kuwa bado moyo upo huko na hata hisia zipo huko mwanaume utakayekuwa naye atapata little attention hatimaye mtaachana
Ikiwa itaamua kuachana naye mazima basi usitumie nguvu kuubwa kumblock wala kublock ndugu zake...endelea kuchart naye kawaida sana akikutext mjibu kiroho safi akipiga pokea ongea naye vizuri tu na ndugu zake ongea nao au chart nao vizuuri tu wala usioneshe una ugomvi au hasira nao...but wewe weka msimamo wako kuwa umemuacha taratiiibu ukijicondition utazoea na utaweza
Asante Kwa ushauri mzuri lkn suala la kifedha Hilo haliko sahihi ila kiukweli Kwa situation nilomkuta nayo kuniacha moja Kwa moja Kwa mtu mwenye utu coz nimetoka nae mbali sana na hta hapo alipo ni mchango wa mawazo na uvumilivu wangu pia sikuwahi muomba kitu najua Hana uwezo nacho nikiona ninanafasi ya kumshauri kitu asogee sikuwahi kusita kufnya hivo huenda Hilo ndo linamtesa mm Sina ela lakn sio wa kushindwa kujihudumia kula lknpia siwez hudmia mwanaume

Mapenz napenda ana offcourse lkn maumivu magumu kuvumilika na kanisaliti stage mbaya sna ambayo mahusiano yalikuwa wazi Hadi Kwa pia Kosa alofnya Hadi mzazinwangu anafahamu nimejisikia aibu sna siwez kuwa nae Tena
 
Baba wa kambo natoka nduki hapa[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Tulia ujilie mapishi na mpishi wake nyau wewe[emoji16][emoji16]!!

hebu nimalizie shughuli hapa nipitie komenti afta komenti then nitie neno!!
 
Kifupi atamzunguka huyo ex wake octber haifiki..sijui wanapata wapi nguvu za kuchat na ma ex...! Ila huenda ni utoto pia ..
Ah wee unachezea utamu wa de libolo...bidada i aelekea alipelekewa moto vizurri na jamaa so akikumbuka kyupi inalowa. Alafu nyie mnachanganyikiwa sana na mwanaume ambaye anajua kukojoza
 
Usimiatishe tamaa,
Kama Yuko serious Aangalie upendo,
jamaa yake kachepuka TU bahat mbaya,
Na jamaa alivofala kakiri, ndo kaharibu kabisa
Sio bahat mbaya kaka alikusudia
 
Sometimes letting go, is the best way to go !

Ex wako sio tu kukuachana Nawewe, bado Hana utayari wa KUOA hata huyo walorudiana naye.

Kilichotokea jamaa anaendelea kua karibu yako Ili aendelee kua na Free K ya pembeni.

Sasa uamuzi ni wako, kuendelea kua kipoozeo? Au lah.

Kuendelea kujizibia nafasi Kwa mtu Fulani anayekuhitaji , au kuruhusu Maisha mapya!
Sawa nimeelewa
 
Time is the best answer dear everything gonna be okay!!
 
Back
Top Bottom