instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,037
- 17,212
Mimi nazidi kusema kuna watu ni type A...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kha! Miaka mitatu jamaa anajilia mbususu tuu wakati sie wakina mzabzab tukitongoza tunaambulia vibuti.
Kupendwa wao, kufanikiwa kimaisha wao nk nk
Wengine sie ni wasindikizaji humu duniani...