Ushauri: Napata uzito ku-move on, niongezeeni mbinu

Ushauri: Napata uzito ku-move on, niongezeeni mbinu

Sophy,
Unapaswa kujua kilichosababisha jamaa kukucheat Ni distance, na sio yeye.
(Seems alizidiwa Sana)

Na Hakuna mwanaume utakua mbali eti asikucheat, hiyo haipo.

Solution Ni kuomba uhamisho muwe karibu MDA mwingi,

jamaa yako anakupenda Sana,
Nanupendo wake ulopitiliza umezaa Ujinga akadhani akikiri utamsamehe, kumbe ndo anajikaanga na mafuta yake mwenywe.

Msamehe jamaa muendelee na maisha,
Nmemuonea Sana huruma, ushamba mwingi
Aisee kiukweli tangu huko mwanzo tunapendana sana hta sahiz mtu umwambie tumeachana hawez amini ila uaminifu ni km glass ya kioo kaka ukivunja haiwez kurudi Tena na alikiri kweli lkn Kuna mawil kuwin au kupoteza huwez jua mtu anachowaza n kma hakuna nilichomkwaza maana yake hakuona thamni tu ya upendo ya nn nijifanye kupnda sana
 
hii bahati sijaipata na naitaka sana
yaani pesa kwake na mbususu kwake ?

maana kwa sasa, nacheza ivi: pesa kwangu, mbususu kwake
Alikuwa na issue zake hela ilikuwa ina flow, kei unaili akipenda, huna uhuru nae anarudi mda anaotaka, nikasema isiwe tabu, nikapotea kimya kimya kuendelea kupambana, karibuni nakutana nae haniambii kitu.. anajilengesha tena wakati nilisha amua kufunga zipu na kuwa kama padriii tuu 🤣🤣🤣🤣 ila ni mateso sana kuwa na mwanamke kakuzidi hela au u busy, utapiga tu nje utake usitake kwa stress utazopata ndani
 
Back
Top Bottom