Ushauri: Napata uzito ku-move on, niongezeeni mbinu

Ushauri: Napata uzito ku-move on, niongezeeni mbinu

Iyo ndo shida namba moja naiona sidhani km tungekuwa karibu tungefikia hiv pia mm mwajiriwa kurudi huko ni. Changamoto lkn ndo maisha
Sophy,
Unapaswa kujua kilichosababisha jamaa kukucheat Ni distance, na sio yeye.
(Seems alizidiwa Sana,miez 6 sio mchezo)

Na Hakuna mwanaume utakua mbali eti asikucheat, hiyo haipo.

Solution Ni kuomba uhamisho muwe karibu MDA mwingi,

jamaa yako anakupenda Sana,
Nanupendo wake ulopitiliza umezaa Ujinga akadhani akikiri utamsamehe, kumbe ndo anajikaanga na mafuta yake mwenywe.

Msamehe jamaa muendelee na maisha,
Nmemuonea Sana huruma, ushamba mwingi
 
Huyo mwanamke kakuona wew ni falaa sana na wewe unamuendekezaa... kata mazoea sio kwamba unamchukia ila huna haja ya kuendelea kuwasiliana nae na inonesha hana uhakika juu ya hiyo ndoa aliyodanganywaa ataolewa soon mkuu achana nae USIJIBU MSG KABISA.. usimblock wala nini ila akipiga hupokei na akituma msg hujibu kama kweli unajitambua na unasimamia ulichoamua utaweza ila sasa wew mwenyewe unaonekana unamkubali bado manzi kupita maelezo
Kwakweli mm falasana🤣🤣🤣🤣
 
Ni mdada mwenye hiki kisa, mwanaume ndio anazingua.
 
Huyo mwanamke kakuona wew ni falaa sana na wewe unamuendekezaa... kata mazoea sio kwamba unamchukia ila huna haja ya kuendelea kuwasiliana nae na inonesha hana uhakika juu ya hiyo ndoa aliyodanganywaa ataolewa soon mkuu achana nae USIJIBU MSG KABISA.. usimblock wala nini ila akipiga hupokei na akituma msg hujibu kama kweli unajitambua na unasimamia ulichoamua utaweza ila sasa wew mwenyewe unaonekana unamkubali bado manzi kupita maelezo
Mbona mpo upande mmoja? Hapa mnatetea upande mmoja hamjui pia shida upande wa pili Bruuu. Hawa wanawake wenye hela na kazi zao ni mateso humu basi tu.. Wanawake wapo busy na hela na kazi kama ndio vime wao, ambavyo vinapelekea sie kutafuta faraja nje huko.. Naona hata huyu bi Aunt nae kuna mahala alikuwa anakosea
 
Nilikuwa kwenye serious relationship miaka 3 hiv na tulipanga tufunge ndoa mwaka huu baada ya kuwa mbali akaamua kurudiana na x wake namwisho akakubali kuwa kweli wamerudiana na kizurizaidi alisema sijawahi mkwaza na hakuwa na sabbu ya msingi ya kunifanyia hivo nikaona Riziki tu kumbe Ilikuwa imeisha maisha yaendelee.

Ila nilikuwa nawapendasana yeye familiayake na hata mtotowake na nilikuwa nawaona km nduguzangu kabisa lakin baada ya hayo sitaki mazoea nae kabisa niishi maisha yangu.

Shida ni kuwa analazimisha tuwe karibu na mm nilishakataa nishamblock mara kadhaa lakin atatafuta namba anipigie mara anitext nikaona nimuunblock tu ndugu zake Bado wananitafuta mara hiv mara hivi, naona wananirudisha nyuma Kila wakat mnipe mbinu mpya sitaki kusikia habarizao kabisa.

View attachment 2370362View attachment 2370363View attachment 2370364
Hili ni jibu kabisa
 
Umeisahau na reymage Depal
emoji4.png
😂 Umemuona jamaa yako lkn
Mzee wa mbususu uyo,
mzabzab na umate umate mwingi[emoji4]
😂😂😂
 
Pole sana Madam Sophy bila shaka wewe ni mwanamke mwelevu sana hiyo hali unayoipitia sasa ni ya mpito tu InshaAllah baada ya muda utamsahau na ku move On.
 
Back
Top Bottom