Ushauri: Napata uzito ku-move on, niongezeeni mbinu

Ushauri: Napata uzito ku-move on, niongezeeni mbinu

Unapata tabu ya nini? Kumjibu ukijua yeye block move on ukiwa unaendeleza chat atakuliwa tena ma wewe utakuwa ex utarudiwa tena
 
Huyo mwanaume kakuona wew ni falaa sana na wewe unamuendekezaa... kata mazoea sio kwamba unamchukia ila huna haja ya kuendelea kuwasiliana nae na inonesha hana uhakika juu ya mahusiano na huyo demu mkuu achana nae USIJIBU MSG KABISA.. usimblock wala nini ila akipiga hupokei na akituma msg hujibu kama kweli unajitambua na unasimamia ulichoamua utaweza ila sasa wew mwenyewe unaonekana unamkubali bado jamaa kupita maelezo. Anyway ukitaka kumuacha mwanamke usimwambie muachane maana sisi kurudi ni kawaida yetuu.
 
Back
Top Bottom