Mwambie bwana huyu mwanamke mie nampenda ila yeye ananiona mie boyaAkuelewe Mara ngapi,
Kila siku mwenzio anakulilia humu[emoji4]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambie bwana huyu mwanamke mie nampenda ila yeye ananiona mie boyaAkuelewe Mara ngapi,
Kila siku mwenzio anakulilia humu[emoji4]
Tatizo la jamaa yako Ni kukiri,Hajawah niambia tuachane nimeamua mwenyew siwez kuvumilia usalit hajawah niambia tuachane hata I'll suala alikuwa anaficha na anakataa na huyo mwanamke nikamfat nilipopata uhakika nikaamua nikaachna nae
Dah! Na kweli hili la nyota lina mashiko, maana baharia mwenzetu amemaliza tu chuo hana hili wala lile katunukiwa miaka hii mi three 👌👌.. mzabzab kumbe sie shida ni nyota😄😄Hamna nyota Tu, wenzenu wanapewa mbususu na hela juu, halafu wanapewa na pole 🤣
Mnitafute niwatengenezee dawa
Wewe acha kukaa kizoba pindua meza hiyo nenda kampe uno jamaa mpaka amsahau huyo mwanamke mwengine.Sijafikiria lakini na nikitaka sishindwi na isitoshe hata yeye alikuwa hapindui hapa 😂😂😂😂 sema nimeona nitapat shida tu na stress za Bure
😄😄😄 Ndio umeanza safari.. Kila la kheri nimekaa 👉👉👉👉Love you sophy27
Itakuwa alikuwa na wewe kimaslahi na sio kwa mapenzi ya dhatiNi Mkubwa na ana mtoto wa miak 8 sema labda anaakili za kitoto
Wee na sophy mtakuja kumtoa roho mzabzab, anawapenda balaa[emoji4]We nawe utuliage basi sa tutakubali wangapi?
Mtoto halali na hela soma hiyoo 👆👆👆👆👆Kaanza safar alafu Hana nauli😂😂😂
[emoji1787][emoji1787]siku hizi jf imekua mali yako kabisaBora umesema ukweli kuwa una hasira...maana kunwagwa sio mchezo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Taratibu😄😄😄 Ndio umeanza safari.. Kila la kheri nimekaa 👉👉👉👉
Dear, nilichojifunza mahusiano ya mbali kudumu ni kwa % chache sana. Uzuri alikuambia mapema hivyo endelea na maisha mengne. Pole.Mwaka mmoja tu tulikuwa karibu miwil tumeishi mbali sema tu unawivu🤣🤣🤣🤣
Mie ushauri wa mapenzi sina kwa kweli siku hizi. Nikiangalia jinsi mahusiano yangu yanavyoniendesha sitaki mtu apitie.
Ipo sana tuKaanza safar alafu Hana nauli😂😂😂
Kwa nini mrembo?[emoji1787][emoji1787]siku hizi jf imekua mali yako kabisa