Ushauri: Napata uzito ku-move on, niongezeeni mbinu

Ushauri: Napata uzito ku-move on, niongezeeni mbinu

😊😊 Jimbo lipo wazi.. Ila kula za maoni tu chaliii
mzabzab..

Ila nimeona mwanamke akiwa kakuzi hela, mapenzi kudumu ngumu sana, utaishia manyanyaso.. Hili nilisha experience, nilikuwa na mdada kanizi pesa nilinyooka, ila kwakua mie maskini jeuri nilikata kamba 🀣🀣🀣 kuliko nadharauu
🀣🀣🀣Nimecheka balaa
 
Ulikuwa unampa hela huyo, hawezi kukuacha🀣🀣
Dada kung'uta vumbi la makalio sepa, utapata mwingine, Ila ukipata mwingine kanuni ni Ile Ile USIMPE MWANAUME HELA!, hata Kama unajua Hana hela we muombe hela, kwanza mwanaume ukimsaidia unampunguza nguvu za kiume!

Na hao ndugu zake wanavizia hela zako tu, pole
 
Uyo alichepuka TU,
ila bado jamaa anakupenda sana.

Sema Hapo ndo unaonekana ule umuhimu wa kutokukiri kosa la kuchepuka hata ukutwe mapajani mwa mwanamke,

Ona Sasa,
Jamaa yako kakiri kosa la kukucheat, na hiki ndicho Kinachokuumiza Sana moyoni.

Laiti asingekiri, msingefika kote huko.

Jamaa yako Ni mjinga sana,
kayavuruga mahusiano yake kizembe sana
 
Kuhusu pesa nilimzidi kiasi mm nimekuwa na biasharayangu tangu nikiwa na miaka 22 lkn sikuwahi kumpa pesa lkn ushauri ni kitu kikubwa nilivokuwa nimewekeza kwake nilikuwa Nampa ushauri vitu vya maana na vingi vinenyooka ila x wake alikuwa anatoa pesa kias had Sasa zinafika milion nakitu alisema mwenyew bhana kachagua Hela Hela πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Pia kifamilia ni upendo tu Ile

kuwakimbilia wakat wa huzuni na furaha pesa hmna na nilishasema simpi Hela mwanaume mwenyew nazitafuta Kwa shida sana
Good kuachana siyo uadui
 
Back
Top Bottom