Ushauri: Napata uzito ku-move on, niongezeeni mbinu

Ushauri: Napata uzito ku-move on, niongezeeni mbinu

Dah sasa wewe nani alikwambia kuwa long distance relationship zina work? Hapo lazima kidume akamatie mbususu nyingine huku wee ukiendelea na self service.

Achana nae huyo wee njoo hapa nikuwowe upate kuheshimika katika jamii. Sio watu wanakula mbususu na kusepa huku wukiwa unataabika na self service
🤣
 
Dear, nilichojifunza mahusiano ya mbali kudumu ni kwa % chache sana. Uzuri alikuambia mapema hivyo endelea na maisha mengne. Pole.
Iyo ndo shida namba moja naiona sidhani km tungekuwa karibu tungefikia hiv pia mm mwajiriwa kurudi huko ni. Changamoto lkn ndo maisha
 
Dear, nilichojifunza mahusiano ya mbali kudumu ni kwa % chache sana. Uzuri alikuambia mapema hivyo endelea na maisha mengne. Pole.
Usimiatishe tamaa,
Kama Yuko serious Aangalie upendo,
jamaa yake kachepuka TU bahat mbaya,
Na jamaa alivofala kakiri, ndo kaharibu kabisa
 
Pole sana najua how hard it is lakini unatakiwa kukaza moyo na kujikatalia look here huyu anakutafta ili kuondoa hatia moyoni hes feeling guulty nafsi inamsuta so anahitaji kuwa close na wewe as in kujipa tulio moyoni na kujifariji naomba usimpe hyo nafasi kwani line ya simu mpya sh ngapi? Badili line achana na hao ndg zake kwa kifupi jitoe fully otherwise u will neeeeeva move on kwanza unamjibu wa nini ss? Uyu anakuchezea na siku akioa utalia ukiendelea kumuendekeza em itiishe nafsi yako ikutii jiambie kwa nguvu kwamba nimekubali kwenda mbele usimuulizie usimchunguze usimuongelee na mtu anarhusiana nae yeyote mtoe kwenye maisha yako jipende focus kwenye kazi ukikaa kumbuka mabaya yake tu eventualy utamove on na siku utakumbuka ulivoumia utajizaba mibao kwa ujinga pole sana
 
Back
Top Bottom