Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
- Thread starter
- #41
Kweli ananitia hasira hasa Yan nikiona sms kutoka kwake nahis kupata kichaa lkn nitajitahidi shangaziPunguza hasira Shangazi. Namna nzuri panapo wezekana unajibu na pasipo wezekana hujibu. Yes yako iwe Yes na No yako iwe No, sio kila mtu anachotaka lazima akipate weka mipaka kwenye mawasiliano tu